Freeman Mbowe kutoa sadaka Maalum ya Shukrani Usharika wa Nshala Machame, Maandalizi ya Mapokezi yake yaanza jimboni Hai

Freeman Mbowe kutoa sadaka Maalum ya Shukrani Usharika wa Nshala Machame, Maandalizi ya Mapokezi yake yaanza jimboni Hai

Yupo wapi Mwanahabari wa CHADEMA bwana Tumaini Makene?
Au alishaunga mkono juhudi maana vijana wa CDM kwa njaa (baadhi yao).
 
Taarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania Gwiji Freeman Mbowe anarejea nyumbani kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, kwa mara ya kwanza Jumamosi 19/03/2022, baada ya kushikiliwa gerezani kwa miezi 8 mfululizo, kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.

Ratiba ya ujio wake Jimboni humo inaeleza kwamba Jumapili tarehe 20/03/2022, atatoa SADAKA MAALUM kwenye misa itakayofanyika kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame.

Tayari Moto wa Maandalizi ya Mapokezi yake umeanza kuwaka.

View attachment 2150197
✌✌✌✌All the best
 
Ratiba ya ujio wake Jimboni humo inaeleza kwamba Jumapili tarehe 20/03/2022, atatoa SADAKA MAALUM kwenye misa itakayofanyika kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame.
  1. Jimbo la kikanisa au uchaguzi?
  2. Maandiko na mafundisho yanasema sadaka na iwe siri
 
Back
Top Bottom