Freeman Mbowe kutoka anguko la Simba "BOB JUNIOR" wa hifadhi ya Serengeti

Freeman Mbowe kutoka anguko la Simba "BOB JUNIOR" wa hifadhi ya Serengeti

Nyakati hizi za muendelezo wa siasa za kihuni na Kibabe za CCM ni Lissu Heche combination ndio tunaihitaji.

GflsGohXgAAHF63.jpeg
 
Ametoka Ikulu kuongea na Raisi lakini akiulizwa na Viongozi wenzake wameongea nini anasema ni siri yake...🤔

Anatuficha nini? Asali?
Asali noma sana, hasa asali ya Nyuki wadogo!!🤣🤣🤣🙏🙏
 
Ila mkuu nisiache kukupa pongezi. Ulimtetea sana mwamba tukisema apumzike.

Ulipofika wakati hukukupesa macho.

Kwa hilo nisiache kukupa maua yako.
🙏🏼🙏🏼
 
Ametoka Ikulu kuongea na Raisi lakini akiulizwa na Viongozi wenzake wameongea nini anasema ni siri yake...🤔

Anatuficha nini? Asali?

Huko ndiko anajinasibu nako kuwa mtunza siri za vikao
 
Back
Top Bottom