Freeman Mbowe kutoka anguko la Simba "BOB JUNIOR" wa hifadhi ya Serengeti

Ametoka Ikulu kuongea na Raisi lakini akiulizwa na Viongozi wenzake wameongea nini anasema ni siri yake...πŸ€”

Anatuficha nini? Asali?
Asali noma sana, hasa asali ya Nyuki wadogo!!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™
 
Ila mkuu nisiache kukupa pongezi. Ulimtetea sana mwamba tukisema apumzike.

Ulipofika wakati hukukupesa macho.

Kwa hilo nisiache kukupa maua yako.
πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
 
Ametoka Ikulu kuongea na Raisi lakini akiulizwa na Viongozi wenzake wameongea nini anasema ni siri yake...πŸ€”

Anatuficha nini? Asali?

Huko ndiko anajinasibu nako kuwa mtunza siri za vikao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…