Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha ukoo usitegemee atatokea mrithi nje na ukoo na akitokea Basi atakabidhiwa chama kikiwa hakina kitu hata kimoja maana mali zote zina majina ya watu binafsi
Kwani wewe ku reply hapa ilikua inakuhusu niniShamba la Jirani linakuhusu nini wewe mpitanjia????
Kwani wewe ku reply hapa ilikua inakuhusu nini
Sijasoma comment yako umeandika ndefu sana alafu najua ni utumbo tuHusika na yanayokuhusu huko kwenu CCM ambapo Mali za Umma kama viwanja vyote vimebadilishwa umiliki kitapeli kuinufaisha CCM,
Chanel 10 Magu juz ndo alitusanua ni Mali ya CCM wakati muda wote Nanaki alikimiliki kama chake binafsi.
Nilijua tu siwezi kukukosa hapa, ukisikia Mbowe akili na Mwili unachemkaNgoja waje
Awali Mbowe alimuandaa Halima James Mdee lakini baada ya Usaliti sasa anamwangalia zaidi John Heche wa Tarime na Salum Mwalimu wa Unguja
Hata siku moja usiwape chama cha siasa wanaharakatiHeche au lissu ndio wanafaa zaid.
Tujadilini sana ila msitupangie wa kutuongozaKwani Chadema hawana malengo ya kuchukua dola?
Tusiwajadili kwa kigezo gani?
Mwamba mbowe.Mbowe ni mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo amedumu madarakani kwa muda mrefu akijaribu kumfukuzia Baba wa Taifa kwa muda ambao aliiongoza TANU hatimaye CCM tangu uhuru hadi alipoamua kung'atuka kwa hiyari yake.
Ingawa tuampiga mishale mingi bwana Mbowe lakini ameendelea kuwa nguzo ya CHADEMA hasa kuelekea kwenye mitaguso ya kisiasa. Pamoja na kufanyiwa hila za kihuni na CCM kuitumia NHC kuporomosha biashara zake ambazo amezirithi kutoka kwa baba yake.
Hivi karibuni alikabiliwa na kesi ya kubumba ya ugaidi ambapo kupitia ushahidi uliotolewa mahakamani, sisi kama jamii tulifunguka macho kugundua UKATILI mkubwa unaofanywa na CCM kupitia jeshi la polisi ambao wanatumika kudhibiti upinzani wa kisiasa dhidi ya CCM
Swali ambalo kama jamii ya wadadisi wa siasa za Tanzania tunapaswa kupata majibu ni kuhusu succession plan, kwamba baada ya yeye ameandaliwa nani kupokea kijiti kuweza kuipeleka CHADEMA kwenye kufanikisha malengo yake ya kuongoza dola kwa manufaa ya Watanzania?
Kiongozi makini ni yule ambaye anaongoza huku akiandaa watu wanaoweza kuongoza dira na malengo ya taasisi.
Uzi huu siyo sehemu ya shinikizo la kumtaka ang'oke madarakani
True na ana influence ndani na nje ya chamaJohn Heche huyu ndiye Mwenyekiti bora ajaye baada ya Mbowe sina mashaka naye hata kidogo anajiamini si muoga tumwamini.
Yaani kama Zitto wasingemshtukia Chadema ingekuwa ChaumaCDM ikipata Dola ndo utakuwa Wakt fasaha wa Mbowe kung'atuka nafasi ya mkt.
Mf Zittow kabwe angepewa uenyekiti enzi zile analeta chokochoko, CDM ingeshakuwa kama NLD.
Narudia kusema Ili Mbowe ang'atuke, ahakikishe CDM inashika DOLA kwanza.