Freeman Mbowe mishale mingi lakini hachoki, hapoi. Je ana mrithi?

Mbowe ameifanya kazi yake ya kukijenga chama na kukifanya kiaminiwe na wananchi kwa uwezo mkubwa, anastahili pongezi, hasa wakati huu akielekea kubwaga manyanga.
 
Ya Chadema waachieni Chadema wenyewe nyinyi hayawahusu mbona ramuli chonganishi?
 
Chama cha ukoo usitegemee atatokea mrithi nje na ukoo na akitokea Basi atakabidhiwa chama kikiwa hakina kitu hata kimoja maana mali zote zina majina ya watu binafsi
 
Shamba la Jirani linakuhusu nini wewe mpitanjia????
Chama cha ukoo usitegemee atatokea mrithi nje na ukoo na akitokea Basi atakabidhiwa chama kikiwa hakina kitu hata kimoja maana mali zote zina majina ya watu binafsi
 
Husika na yanayokuhusu huko kwenu CCM ambapo Mali za Umma kama viwanja vyote vimebadilishwa umiliki kitapeli kuinufaisha CCM,

Chanel 10 Magu juz ndo alitusanua ni Mali ya CCM wakati muda wote Nanaki alikimiliki kama chake binafsi.

Kwani wewe ku reply hapa ilikua inakuhusu nini
 
Husika na yanayokuhusu huko kwenu CCM ambapo Mali za Umma kama viwanja vyote vimebadilishwa umiliki kitapeli kuinufaisha CCM,

Chanel 10 Magu juz ndo alitusanua ni Mali ya CCM wakati muda wote Nanaki alikimiliki kama chake binafsi.
Sijasoma comment yako umeandika ndefu sana alafu najua ni utumbo tu
 
John Heche huyu ndiye Mwenyekiti bora ajaye baada ya Mbowe sina mashaka naye hata kidogo anajiamini si muoga tumwamini.
 
Mwamba mbowe.
 
CDM ikipata Dola ndo utakuwa Wakt fasaha wa Mbowe kung'atuka nafasi ya mkt.

Mf Zittow kabwe angepewa uenyekiti enzi zile analeta chokochoko, CDM ingeshakuwa kama NLD.

Narudia kusema Ili Mbowe ang'atuke, ahakikishe CDM inashika DOLA kwanza.
Yaani kama Zitto wasingemshtukia Chadema ingekuwa Chauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…