Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi haliwezi kujua mambo hayo kwa kiburi chake,Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni.
Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo hilo la Mikocheni ambalo ndiyo makao makuu ya chama hicho.
View attachment 3181654
Laigwanan familyHilo jengo lilinunuliwa kutoka kwa nani?...naamini Lissu atatoka na nyaraka za mauziano 🐼
Ruzuku ni statutory hata bila maridhiano walikua entitled kuichukua unless kuna miamala ya chini ya meza.Wakuu,