Tetesi: Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa chama taifa aliyegeuka mchochezi wa vurugu nchini

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
880
Reaction score
971
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa amebadili taswira ya Uongozi wake. Freeman Mbowe ameamua kuacha kukisaidia Chama chake kukua na kushamiri badala yake anakusudia kulivunja Taifa.
Freeman Mbowe anafanya kazi ya Uchochezi, Uchonganishi na Ugombanishi katika Nchi hii. Kwa Freeman Mbowe Amani ya Nchi hii haina maana yoyote na hapendezwi nayo, kwake ni jambo jema kuivunja na kuijutia kwa kisingizio cha Demokrasia bila wajibu.
Freeman analichonganisha Taifa,anataka kulivunja Taifa!

Ukitaka kujua kuwa Freeman Mbowe ni Mchochezi mkubwa, Mchonganishi na Mgombanishi asielitakia mema Taifa hili,usipate shida. Endelea nami....

April 12, 2016 Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni aliwaongoza Wabunge wa Ukawa kwa mara ya kwanza ktk Bunge la 11 kutoka ndani ya Bunge na kususia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Freeman Mbowe alisema wanatoka kwa sababu Bunge si mali ya Mtu mmoja,haliwezi kuendeshwa kwa namna ambayo yeye hakuona inafaa. Akasema kwamba kusitisha Matangazo ya moja kwa moja ya Bunge haikuwa haki na hivyo Wananchi wanapokwa haki yao ya Msingi. Hapo Freeman akawachonganisha Wananchi na Serikali yao!
Kwa kauli hiyo Freeman Mbowe, akawa kamwaga Mbigili ktk Nchi. Kuanzia hapo Bunge likawa halieleweki, halikaliki. Wabunge wanavaa maguo meusi,wanatoka na makaratasi vinywani,ikawa Taflani tu!
Taifa likapalaganyika! Tukarumbana,tukagombana,tukatukanana,tukavuana nguo hadharani tukidai haki bila ya kutimiza wajibu wetu. Taifa likameguka mapande mawili makubwa, hapo Kiu ya Freeman Mbowe ikatulia. Fulaha ya Freeman huja pale Watanzania wanapogawanyika na kuhasimiana.
Roho yake kwaatu! Tulioumia tukamia, tukaendelea!

Baada ya Muda hali ikatulia kidogo. Hapo tena Roho ya Freeman Mbowe ikajawa kutu. Mchochozi ni mchochezi tu, hataki watu waelewane. Freeman akaamua tena kuanzisha mradi mwingine wa kuwachonganisha Watanzania.
Huku akijua kuwa jambo hili lisingawezekana, Freeman Mbowe akatangaza Mikutano ya Kisiasa Nchi nzima.

June 07, 2016, Freeman Mbowe akawachochea Wananchi kugombana na Askali pale Kahama CDT. Watu wakapigwa wakavunjwa miguu na mbavu, Maduka yakafungwa na Safari zikasimama kwa muda wa masaa.
Uchumi wa Kahama Shinyanga ukakwama kuendelea, Taifa likakosa Mapato. Mioshi ya Mabomu ikatanda anga la Kahama kama ilivyo Sudani Kusini. Wananchi waliopigwa na kuvunjwa wakawachukia Askari wa FFU, wakajenga kisasi dhidi yao hadi sasa. Waliopigwa ni Maskini wenzangu, watoto wa Shangazi na Mjomba. Freeman Mbowe akafulahi watu kuumizwa, yeye akaruka kwa Ndege hadi Mwanza ktk Hotel ya Kifahari akaenda kupumzika huku mwanae akiendelea kula Bata London Uingereza. Siku Watanzania tutapolijua vema jambo hili, Freeman atatafuta pa kwenda! Freeman Mbowe ndie adui namba moja kwa Maendeleo na Amani yetu.

Freeman Mbowe hapendi Watanzania tuishi kwa fulaha na Amani,hataki kuona tukitumia muda mwingi kushiriki shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Kwa Freeman Mbowe, Maendeleo ni makelele na Visasi peke yake.
July hiyohiyo Freeman Mbowe kama aliyekusudia kumwaga damu ya watu wengi ndani ya Nchi hii, akaendelea na Mpango wake wa kuwavunja Watanzania.
Awamu hii akawatuma Vijana wake Patric Ole Sosopi na Patrobas Katambi kulifitini Taifa,kulichonganisha na kuligombanisha. Kwa ujinga wao hawa wakazunguka Nchi nzima kuongea ujinga mtupu. Wakawapigia makelele Watanzania yasiyo na maana yoyote. Wakajiandaa na safari isiokuwepo ya kwenda Dodoma kuzuia Mkutano Maalumu wa CCM. Wananchi wakashindwa kufanya kazi zao,kila kukicha Sosopi na Patrobas wanapanga ya kwao!
Waliowasikiliza na kuwafuata wengi waliangukia Lumande kwa kiburi chao. Taifa likawa limeingia katika Dosari nyingine, Watanzania tukagawanyika tena. wakaona kuwa hapakua na usawa,kwamba wako walioonewa kwa jambo lile. Umoja na Mshikamano wetu Vikapungua. Freeman akaruka,akacheka kwa shangwe kwamba amekamilisha kazi yake vema. Watanzania lazima tugombane!
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama amegeuka Mchochezi wa Virugu Nchini.

Ya Dodoma yakaisha,walichobakishiwa Watanzania ktk mioyo yao wanajua wao!

Freeman Mbowe ameitangaza tarehe moja Septemba kuwa siku ya Uvunjifu wa Amani Tanzania. Kimsingi, Amani haiwezi kuvunjwa bila watu kadhaa kufariki Dunia, kwa hiyo Freeman Mbowe ametangaza tarehe moja Septemba siku ya maafa Tanzania. Wajinga wenzake wakakubalina nae juu ya ujinga wa kiwango kile. Ni bahati mbaya kuwa katika wao wamo Maprofesa na Madaktari. Ila Wajinga ni wajinga tu hata kama ni Maprofesa na Madaktari.

Wakati mwingine Freeman Mbowe anajitukanisha yeye mwenyewe!
Akili za kijinga vile alikua nazo mwanangu wakati akiwa mdogo sana. Kwamba matatizo ya Kisiasa ya Nchi hii yanaweza kutatuliwa kwa kutengeneza Matatizo mengine. Yaani tunaweza kutengeneza Demokrasia kwa kuua watu,kuandamana na kutofanya kazi za kujenga uchumi. Ni Freeman Mbowe pekee na kundi lake ndio wasiofahamu kuwa agenda ya Watanzania kwa sasa sio Demokrasia. Kwamba Watanzania sasa wanataka Maendeleo peke yake, Full stop!

Freeman Mbowe tukufundishe hadi lini kuwa Maendeleo na Demokrasia haviendi pamoja?
Ni bahati mbaya unawaongoza watu kudai wasichokijua! Hata kama unamaanisha kweli lakini kama walio nyuma yako hawajui ulichonacho, huo utakua uhalifu tu!
Achana na mawazo ya harakati,jenga awareness hii hatua itakuja yenyewe bila wewe kusema. Maandamano ni hatua ya juu kabisa baada ya watu kuwa na Conscious. Otherwise utaua watu wa Mungu bure!

Wewe ulisoma wapi Brother?
Ujinga wako utatufanya wengine tuonekane tunakufundisha uhaini na vyama vyetu kwa uzembe wako wa kufikiri. Sasa unawaandamanisha watu kwa ushabiki tu. Hawajui kiini cha dhamira hiyo, hawajui faida ya kufanya na hasara ya kukosa kufanya. Mtu asiyejua sababu za kuandamana kwake hawezi kwenda mbali zaidi! Utaua watu bure. Maandamano ya mara kwa mara yatahesabiwa kama Mapinduzi dhidi ya Serikali iliyopo Madarakani. Ni ujinga kurudiarudia jambo linalokushinda kulitimiza. Huu ni uchochezi usio na msingi kwa Wananchi na Taifa lao. Waache watu wajenge Nchi yao!

. Unachokihitaji ni kikubwa kuliko uwezo wako ndio maana unakosea kila uanzapo! Achana na miradi hiyo italiangamiza Taifa bure. Kwa kuwa ulikataa wenye akili kuongoza Chama chako, sasa zoea tu!
Rais wa sasa amekuzidi kwa kila kitu, anakuzidi akili,kakuzidi timing, kakuzidi Publicity, kakuzidi Populality. Yaani kakuzidi kila kitu!
Kwamba kila unalowaza kulifanya utajikuta unabaki peke yako! Huwezi kwenda mbali,jifunze kuanza upya pale unapokwama.
Huu ni ushauli wa bure, achana na Maandamano maana hio sio Sera ya Chama chako. Taifa kwa sasa linahitaji nguvu kubwa ktk Mageuzi ya Kiuchumi na Kijamii. Fullstop!

Watanzania mpuuzeni Freeman Mbowe!
Hakuna anakowapeleka zaidi ya Mauti ya kujitakia. Mwacheni mwenyeye akafie huko atakako hiyo Septemba mosi. Hajui anataka nini,mwambieni ajiandae kwanza asiwapigie makelele ya kilevilevi!
Hovyooooo!!!
Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Chama aliegeuka Mchochozi wa Vurugu kwa Uvivu wa kufikiri!
 
Hivi hayo maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi na yanapokelewa na nani alafu baadae inakuaje yakimalizika nijuzeni...
 
Unachochea fujo? Tunamshauri Mh.Mbowe kupitia wanasheria wake wakukamate Kwa makosa ya kimtandao ili ushike adabu watu wa aina yako hata baba zenu mnawatukana
 
Kama watanzania ndo wana akili kama zako hizi, hayo maendeleo tutayasikia tu wenzetu! Wewe kinachokupa uhalali wa kuua mtu anayefurahia haki yake ya kikatiba ni nini?
 
Tumia busara na kama huna nenda kwa wakokola watakusaidia jinsi ya kuipata hiyo hekima. Ni mpumbavu of the highest calibre adiyeweza kutuambia jinsi nyie msivyoitakia amani nchi hii. Mnasahau au hata kudharau maneno ya mwalimu juu ya amani ya nchi na jinsi ya kuiheshimu na kuilinda katiba ya nchi
 
Kama wewe huandamani una washwa na nini? ao wanaoandamana walikuja kwako kukuomba ugali ata siku 1?
 
Taflani,likapalaganyika,njoo pm nikupatie hifadhi,kamata kamata ya makonda inaanza kesho
 
Na kwa taarifa yake hawezi fanikiwa,
Tanzania siyo ya wanywa viroba wasio tumia akili kutafakari matamko ya kipumbavu.
Ashindwe
 
Kweli hii nchi ina mzigo mkubwa sana. Sidhani kama mama ako alishawahi kujivunia kitu chochote kutoka kwako,haoni faida ya kubeba ujauzito wako hata kidogo. Umeandika upuuzi,huna hekima hata kidogo. Bahati nzuri upo upande wa ng'ombe ungeshaozea segerea ungekuwa upande wa pili. Stupid ever
 
Mimi kiukweli sjaelewa kitu hapa....hivi haya maandamano wanayotaka kutuandamisha wao watakuwepo na familia zao na tutaanzia wapi mpaka wapi.....je hyo helkopta itaweza tubeba wote pale vijana wa Magufuri FFU watakapo chafukwa au atapanda yeye na kukimblia pa kupumzika kama ilivyotokea Kahama to Mwanza?
 
Kama watanzania ndo wana akili kama zako hizi, hayo maendeleo tutayasikia tu wenzetu! Wewe kinachokupa uhalali wa kuua mtu anayefurahia haki yake ya kikatiba ni nini?
Maendeleo hayaji kwa kuandamana mkuu,maendeleo yanatokana na kufanya kazi.
 
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa amebadili taswira ya Uongozi wake. Freeman Mbowe ameamua kuacha kukisaidia Chama chake kukua na kushamiri badala yake anakusudia kulivunja Taifa.
Freeman Mbowe anafanya kazi ya Uchochezi, Uchonganishi na Ugombanishi katika Nchi hii. Kwa Freeman Mbowe Amani ya Nchi hii haina maana yoyote na hapendezwi nayo, kwake ni jambo jema kuivunja na kuijutia kwa kisingizio cha Demokrasia bila wajibu.
Freeman analichonganisha Taifa,anataka kulivunja Taifa!

Ukitaka kujua kuwa Freeman Mbowe ni Mchochezi mkubwa, Mchonganishi na Mgombanishi asielitakia mema Taifa hili,usipate shida. Endelea nami....

April 12, 2016 Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni aliwaongoza Wabunge wa Ukawa kwa mara ya kwanza ktk Bunge la 11 kutoka ndani ya Bunge na kususia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Freeman Mbowe alisema wanatoka kwa sababu Bunge si mali ya Mtu mmoja,haliwezi kuendeshwa kwa namna ambayo yeye hakuona inafaa. Akasema kwamba kusitisha Matangazo ya moja kwa moja ya Bunge haikuwa haki na hivyo Wananchi wanapokwa haki yao ya Msingi. Hapo Freeman akawachonganisha Wananchi na Serikali yao!
Kwa kauli hiyo Freeman Mbowe, akawa kamwaga Mbigili ktk Nchi. Kuanzia hapo Bunge likawa halieleweki, halikaliki. Wabunge wanavaa maguo meusi,wanatoka na makaratasi vinywani,ikawa Taflani tu!
Taifa likapalaganyika! Tukarumbana,tukagombana,tukatukanana,tukavuana nguo hadharani tukidai haki bila ya kutimiza wajibu wetu. Taifa likameguka mapande mawili makubwa, hapo Kiu ya Freeman Mbowe ikatulia. Fulaha ya Freeman huja pale Watanzania wanapogawanyika na kuhasimiana.
Roho yake kwaatu! Tulioumia tukamia, tukaendelea!

Baada ya Muda hali ikatulia kidogo. Hapo tena Roho ya Freeman Mbowe ikajawa kutu. Mchochozi ni mchochezi tu, hataki watu waelewane. Freeman akaamua tena kuanzisha mradi mwingine wa kuwachonganisha Watanzania.
Huku akijua kuwa jambo hili lisingawezekana, Freeman Mbowe akatangaza Mikutano ya Kisiasa Nchi nzima.

June 07, 2016, Freeman Mbowe akawachochea Wananchi kugombana na Askali pale Kahama CDT. Watu wakapigwa wakavunjwa miguu na mbavu, Maduka yakafungwa na Safari zikasimama kwa muda wa masaa.
Uchumi wa Kahama Shinyanga ukakwama kuendelea, Taifa likakosa Mapato. Mioshi ya Mabomu ikatanda anga la Kahama kama ilivyo Sudani Kusini. Wananchi waliopigwa na kuvunjwa wakawachukia Askari wa FFU, wakajenga kisasi dhidi yao hadi sasa. Waliopigwa ni Maskini wenzangu, watoto wa Shangazi na Mjomba. Freeman Mbowe akafulahi watu kuumizwa, yeye akaruka kwa Ndege hadi Mwanza ktk Hotel ya Kifahari akaenda kupumzika huku mwanae akiendelea kula Bata London Uingereza. Siku Watanzania tutapolijua vema jambo hili, Freeman atatafuta pa kwenda! Freeman Mbowe ndie adui namba moja kwa Maendeleo na Amani yetu.

Freeman Mbowe hapendi Watanzania tuishi kwa fulaha na Amani,hataki kuona tukitumia muda mwingi kushiriki shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Kwa Freeman Mbowe, Maendeleo ni makelele na Visasi peke yake.
July hiyohiyo Freeman Mbowe kama aliyekusudia kumwaga damu ya watu wengi ndani ya Nchi hii, akaendelea na Mpango wake wa kuwavunja Watanzania.
Awamu hii akawatuma Vijana wake Patric Ole Sosopi na Patrobas Katambi kulifitini Taifa,kulichonganisha na kuligombanisha. Kwa ujinga wao hawa wakazunguka Nchi nzima kuongea ujinga mtupu. Wakawapigia makelele Watanzania yasiyo na maana yoyote. Wakajiandaa na safari isiokuwepo ya kwenda Dodoma kuzuia Mkutano Maalumu wa CCM. Wananchi wakashindwa kufanya kazi zao,kila kukicha Sosopi na Patrobas wanapanga ya kwao!
Waliowasikiliza na kuwafuata wengi waliangukia Lumande kwa kiburi chao. Taifa likawa limeingia katika Dosari nyingine, Watanzania tukagawanyika tena. wakaona kuwa hapakua na usawa,kwamba wako walioonewa kwa jambo lile. Umoja na Mshikamano wetu Vikapungua. Freeman akaruka,akacheka kwa shangwe kwamba amekamilisha kazi yake vema. Watanzania lazima tugombane!
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama amegeuka Mchochezi wa Virugu Nchini.

Ya Dodoma yakaisha,walichobakishiwa Watanzania ktk mioyo yao wanajua wao!

Freeman Mbowe ameitangaza tarehe moja Septemba kuwa siku ya Uvunjifu wa Amani Tanzania. Kimsingi, Amani haiwezi kuvunjwa bila watu kadhaa kufariki Dunia, kwa hiyo Freeman Mbowe ametangaza tarehe moja Septemba siku ya maafa Tanzania. Wajinga wenzake wakakubalina nae juu ya ujinga wa kiwango kile. Ni bahati mbaya kuwa katika wao wamo Maprofesa na Madaktari. Ila Wajinga ni wajinga tu hata kama ni Maprofesa na Madaktari.

Wakati mwingine Freeman Mbowe anajitukanisha yeye mwenyewe!
Akili za kijinga vile alikua nazo mwanangu wakati akiwa mdogo sana. Kwamba matatizo ya Kisiasa ya Nchi hii yanaweza kutatuliwa kwa kutengeneza Matatizo mengine. Yaani tunaweza kutengeneza Demokrasia kwa kuua watu,kuandamana na kutofanya kazi za kujenga uchumi. Ni Freeman Mbowe pekee na kundi lake ndio wasiofahamu kuwa agenda ya Watanzania kwa sasa sio Demokrasia. Kwamba Watanzania sasa wanataka Maendeleo peke yake, Full stop!

Freeman Mbowe tukufundishe hadi lini kuwa Maendeleo na Demokrasia haviendi pamoja?
Ni bahati mbaya unawaongoza watu kudai wasichokijua! Hata kama unamaanisha kweli lakini kama walio nyuma yako hawajui ulichonacho, huo utakua uhalifu tu!
Achana na mawazo ya harakati,jenga awareness hii hatua itakuja yenyewe bila wewe kusema. Maandamano ni hatua ya juu kabisa baada ya watu kuwa na Conscious. Otherwise utaua watu wa Mungu bure!

Wewe ulisoma wapi Brother?
Ujinga wako utatufanya wengine tuonekane tunakufundisha uhaini na vyama vyetu kwa uzembe wako wa kufikiri. Sasa unawaandamanisha watu kwa ushabiki tu. Hawajui kiini cha dhamira hiyo, hawajui faida ya kufanya na hasara ya kukosa kufanya. Mtu asiyejua sababu za kuandamana kwake hawezi kwenda mbali zaidi! Utaua watu bure. Maandamano ya mara kwa mara yatahesabiwa kama Mapinduzi dhidi ya Serikali iliyopo Madarakani. Ni ujinga kurudiarudia jambo linalokushinda kulitimiza. Huu ni uchochezi usio na msingi kwa Wananchi na Taifa lao. Waache watu wajenge Nchi yao!

. Unachokihitaji ni kikubwa kuliko uwezo wako ndio maana unakosea kila uanzapo! Achana na miradi hiyo italiangamiza Taifa bure. Kwa kuwa ulikataa wenye akili kuongoza Chama chako, sasa zoea tu!
Rais wa sasa amekuzidi kwa kila kitu, anakuzidi akili,kakuzidi timing, kakuzidi Publicity, kakuzidi Populality. Yaani kakuzidi kila kitu!
Kwamba kila unalowaza kulifanya utajikuta unabaki peke yako! Huwezi kwenda mbali,jifunze kuanza upya pale unapokwama.
Huu ni ushauli wa bure, achana na Maandamano maana hio sio Sera ya Chama chako. Taifa kwa sasa linahitaji nguvu kubwa ktk Mageuzi ya Kiuchumi na Kijamii. Fullstop!

Watanzania mpuuzeni Freeman Mbowe!
Hakuna anakowapeleka zaidi ya Mauti ya kujitakia. Mwacheni mwenyeye akafie huko atakako hiyo Septemba mosi. Hajui anataka nini,mwambieni ajiandae kwanza asiwapigie makelele ya kilevilevi!
Hovyooooo!!!
Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Chama aliegeuka Mchochozi wa Vurugu kwa Uvivu wa kufikiri!
Kweli UKUTA tishio mnawanga OMO tu poleni sana!
 
Ujielewi wewe sio Mbowe ulicho andika ni uchochezi kwa matakwa yako binafsi.
 
Hivi kwa uelewa wako maandamano ni kuvunja Amani? Nani alikwambia kuandamana kwa Amani ni kuharibu na kusababisha mparanganyiko? Na kwa nini hujaeleza madai yao? Kama unaugonvi na Mbowe usitake wote wagombane nae. Halafu kama unajifunza jinsi ya kushawishi watu anza kumshawishi mkeo, watoto wako, n.k Halafu ndiyo ulete Uzi wa kujaribu kushawishi humu jf. Ila kwa uandishi huu hata mwenyekiti wa kijiji huwezi pata. Ndugu, kaa ukijua vema kuwa wanao andamana wanakero zao. Kama umeshiba na unalipwa vizuri tambua wengine wana lala njaa. Kaa kimya au na wewe kaandamane!!!?
 
Mkuu wa wilaya,kazi zimeisha hapo wilayani kwako,kama zimeisha vamia hata Kituo cha daladala,utoe tamko
 
Watu wengine sijui hata huo ukuu wa wilaya uliupataje tu hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom