Tetesi: Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa chama taifa aliyegeuka mchochezi wa vurugu nchini

Mnaotetea uhalifu wa wazi wa Mbowe ni wapumbavu na Malofa. Mbowe mwenyewe, pamojana kuwa na wanasheria, wanatambua madaraka makubwa aliyonayo Rais Kikatiba. Kama Rais amevunja Katiba, Katiba hiyo hiyo inatoa ruhusa Rais kushitakiwa, nanukuu:

"Bunge laweza kumshtaki Rais Sheria ya 1992 Na.20 ib.8 Sheria ya 1995 Na.12 ib.4Sheria ya ....46A.-(1) Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii.(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama inadaiwa kwamba Rais-(a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba, au(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano, na haitatolewa hoja ya namna hiyo ndani ya miezi kumi na miwili tangu hoja kama hiyo ilipotolewa na ikakataliwa na ikakataliwa na Bunge."

Mh Mbowe, kama mbunge na Mwenyekiti wa Chama kikuu cha siasa, analijua hili, lakini anahamasisha maandamano. Tarehe 1/9, asitaje kuahirisha ila awe msitari wa mbele kwenye hayo maandamano, ndio atajua uwezo na madaraka ya Urais anaoutafuta kila kukicha.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Nafikiri huelewi maana ya upinzani,
Nafikiri pia hujui haya maendeleo unayoyaona kwamba yameletwa Na juhudi za hao unaowaita wachochezi,
-umeshundwa kueleza sababu za Wao kususia vikao vya bunge Ni zipi, watu wanavunja katika, kwa kunyimwa uhuru WA habari, kitendo cha serikali kuzuia Bunge kurushwa live wewe unachekelea wakati kinachozungumzwa bungeni Ni hoja za wananchi, Bunge lilianza kuwa Na adabu baada ya sisi wananchi kuona kinachoendelea Na kuwapiga chini wale wabunge vilaza, sasa ccm imeona inapoteza wabunge wengi kwakuwa tunaona mapungufu yao Halafu wewe unakuja kutueleza upuuzi hapa.

Ili serikali iwe Na adabu Ni lazima wananchi tusimame kidete kuirekebisha, huo ujinga kauandike kwenye gazeti la uhuru ndo wote mtakuwa mnaongea present tense, maana hapa sisi tunaongea future tense wewe unaongea past tense.
 
Wanaomsikiliza Mbowe kwa sasa ni wale wanao kataa kushirikisha akili zao.Na ukweli ni kwamba ukimuondoa EL na Tundu Lisu, Mbowe atabaki kama mpiga kelele tu mtaani
hivi sasa anabebwa na hao jamaa yeye binafsi alishajiporomosha siku nyingi labda tu kama hamumchunguzi kwa makini
 
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa amebadili taswira ya Uongozi wake. Freeman Mbowe ameamua kuacha kukisaidia Chama chake kukua na kushamiri badala yake anakusudia kulivunja Taifa.
Freeman Mbowe anafanya kazi ya Uchochezi, Uchonganishi na Ugombanishi katika Nchi hii. Kwa Freeman Mbowe Amani ya Nchi hii haina maana yoyote na hapendezwi nayo, kwake ni jambo jema kuivunja na kuijutia kwa kisingizio cha Demokrasia bila wajibu.
Freeman analichonganisha Taifa,anataka kulivunja Taifa!

Ukitaka kujua kuwa Freeman Mbowe ni Mchochezi mkubwa, Mchonganishi na Mgombanishi asielitakia mema Taifa hili,usipate shida. Endelea nami....

April 12, 2016 Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni aliwaongoza Wabunge wa Ukawa kwa mara ya kwanza ktk Bunge la 11 kutoka ndani ya Bunge na kususia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Freeman Mbowe alisema wanatoka kwa sababu Bunge si mali ya Mtu mmoja,haliwezi kuendeshwa kwa namna ambayo yeye hakuona inafaa. Akasema kwamba kusitisha Matangazo ya moja kwa moja ya Bunge haikuwa haki na hivyo Wananchi wanapokwa haki yao ya Msingi. Hapo Freeman akawachonganisha Wananchi na Serikali yao!
Kwa kauli hiyo Freeman Mbowe, akawa kamwaga Mbigili ktk Nchi. Kuanzia hapo Bunge likawa halieleweki, halikaliki. Wabunge wanavaa maguo meusi,wanatoka na makaratasi vinywani,ikawa Taflani tu!
Taifa likapalaganyika! Tukarumbana,tukagombana,tukatukanana,tukavuana nguo hadharani tukidai haki bila ya kutimiza wajibu wetu. Taifa likameguka mapande mawili makubwa, hapo Kiu ya Freeman Mbowe ikatulia. Fulaha ya Freeman huja pale Watanzania wanapogawanyika na kuhasimiana.
Roho yake kwaatu! Tulioumia tukamia, tukaendelea!

Baada ya Muda hali ikatulia kidogo. Hapo tena Roho ya Freeman Mbowe ikajawa kutu. Mchochozi ni mchochezi tu, hataki watu waelewane. Freeman akaamua tena kuanzisha mradi mwingine wa kuwachonganisha Watanzania.
Huku akijua kuwa jambo hili lisingawezekana, Freeman Mbowe akatangaza Mikutano ya Kisiasa Nchi nzima.

June 07, 2016, Freeman Mbowe akawachochea Wananchi kugombana na Askali pale Kahama CDT. Watu wakapigwa wakavunjwa miguu na mbavu, Maduka yakafungwa na Safari zikasimama kwa muda wa masaa.
Uchumi wa Kahama Shinyanga ukakwama kuendelea, Taifa likakosa Mapato. Mioshi ya Mabomu ikatanda anga la Kahama kama ilivyo Sudani Kusini. Wananchi waliopigwa na kuvunjwa wakawachukia Askari wa FFU, wakajenga kisasi dhidi yao hadi sasa. Waliopigwa ni Maskini wenzangu, watoto wa Shangazi na Mjomba. Freeman Mbowe akafulahi watu kuumizwa, yeye akaruka kwa Ndege hadi Mwanza ktk Hotel ya Kifahari akaenda kupumzika huku mwanae akiendelea kula Bata London Uingereza. Siku Watanzania tutapolijua vema jambo hili, Freeman atatafuta pa kwenda! Freeman Mbowe ndie adui namba moja kwa Maendeleo na Amani yetu.

Freeman Mbowe hapendi Watanzania tuishi kwa fulaha na Amani,hataki kuona tukitumia muda mwingi kushiriki shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Kwa Freeman Mbowe, Maendeleo ni makelele na Visasi peke yake.
July hiyohiyo Freeman Mbowe kama aliyekusudia kumwaga damu ya watu wengi ndani ya Nchi hii, akaendelea na Mpango wake wa kuwavunja Watanzania.
Awamu hii akawatuma Vijana wake Patric Ole Sosopi na Patrobas Katambi kulifitini Taifa,kulichonganisha na kuligombanisha. Kwa ujinga wao hawa wakazunguka Nchi nzima kuongea ujinga mtupu. Wakawapigia makelele Watanzania yasiyo na maana yoyote. Wakajiandaa na safari isiokuwepo ya kwenda Dodoma kuzuia Mkutano Maalumu wa CCM. Wananchi wakashindwa kufanya kazi zao,kila kukicha Sosopi na Patrobas wanapanga ya kwao!
Waliowasikiliza na kuwafuata wengi waliangukia Lumande kwa kiburi chao. Taifa likawa limeingia katika Dosari nyingine, Watanzania tukagawanyika tena. wakaona kuwa hapakua na usawa,kwamba wako walioonewa kwa jambo lile. Umoja na Mshikamano wetu Vikapungua. Freeman akaruka,akacheka kwa shangwe kwamba amekamilisha kazi yake vema. Watanzania lazima tugombane!
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama amegeuka Mchochezi wa Virugu Nchini.

Ya Dodoma yakaisha,walichobakishiwa Watanzania ktk mioyo yao wanajua wao!

Freeman Mbowe ameitangaza tarehe moja Septemba kuwa siku ya Uvunjifu wa Amani Tanzania. Kimsingi, Amani haiwezi kuvunjwa bila watu kadhaa kufariki Dunia, kwa hiyo Freeman Mbowe ametangaza tarehe moja Septemba siku ya maafa Tanzania. Wajinga wenzake wakakubalina nae juu ya ujinga wa kiwango kile. Ni bahati mbaya kuwa katika wao wamo Maprofesa na Madaktari. Ila Wajinga ni wajinga tu hata kama ni Maprofesa na Madaktari.

Wakati mwingine Freeman Mbowe anajitukanisha yeye mwenyewe!
Akili za kijinga vile alikua nazo mwanangu wakati akiwa mdogo sana. Kwamba matatizo ya Kisiasa ya Nchi hii yanaweza kutatuliwa kwa kutengeneza Matatizo mengine. Yaani tunaweza kutengeneza Demokrasia kwa kuua watu,kuandamana na kutofanya kazi za kujenga uchumi. Ni Freeman Mbowe pekee na kundi lake ndio wasiofahamu kuwa agenda ya Watanzania kwa sasa sio Demokrasia. Kwamba Watanzania sasa wanataka Maendeleo peke yake, Full stop!

Freeman Mbowe tukufundishe hadi lini kuwa Maendeleo na Demokrasia haviendi pamoja?
Ni bahati mbaya unawaongoza watu kudai wasichokijua! Hata kama unamaanisha kweli lakini kama walio nyuma yako hawajui ulichonacho, huo utakua uhalifu tu!
Achana na mawazo ya harakati,jenga awareness hii hatua itakuja yenyewe bila wewe kusema. Maandamano ni hatua ya juu kabisa baada ya watu kuwa na Conscious. Otherwise utaua watu wa Mungu bure!

Wewe ulisoma wapi Brother?
Ujinga wako utatufanya wengine tuonekane tunakufundisha uhaini na vyama vyetu kwa uzembe wako wa kufikiri. Sasa unawaandamanisha watu kwa ushabiki tu. Hawajui kiini cha dhamira hiyo, hawajui faida ya kufanya na hasara ya kukosa kufanya. Mtu asiyejua sababu za kuandamana kwake hawezi kwenda mbali zaidi! Utaua watu bure. Maandamano ya mara kwa mara yatahesabiwa kama Mapinduzi dhidi ya Serikali iliyopo Madarakani. Ni ujinga kurudiarudia jambo linalokushinda kulitimiza. Huu ni uchochezi usio na msingi kwa Wananchi na Taifa lao. Waache watu wajenge Nchi yao!

. Unachokihitaji ni kikubwa kuliko uwezo wako ndio maana unakosea kila uanzapo! Achana na miradi hiyo italiangamiza Taifa bure. Kwa kuwa ulikataa wenye akili kuongoza Chama chako, sasa zoea tu!
Rais wa sasa amekuzidi kwa kila kitu, anakuzidi akili,kakuzidi timing, kakuzidi Publicity, kakuzidi Populality. Yaani kakuzidi kila kitu!
Kwamba kila unalowaza kulifanya utajikuta unabaki peke yako! Huwezi kwenda mbali,jifunze kuanza upya pale unapokwama.
Huu ni ushauli wa bure, achana na Maandamano maana hio sio Sera ya Chama chako. Taifa kwa sasa linahitaji nguvu kubwa ktk Mageuzi ya Kiuchumi na Kijamii. Fullstop!

Watanzania mpuuzeni Freeman Mbowe!
Hakuna anakowapeleka zaidi ya Mauti ya kujitakia. Mwacheni mwenyeye akafie huko atakako hiyo Septemba mosi. Hajui anataka nini,mwambieni ajiandae kwanza asiwapigie makelele ya kilevilevi!
Hovyooooo!!!
Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Chama aliegeuka Mchochozi wa Vurugu kwa Uvivu wa kufikiri!
Mmmh!!tutafka kweli kama watu wenyewe mawazo yao ndio kama haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umetumwa ee, unagari la kumfuatilia Mbowe ili umpige risasi ? Na wenzio walianza kama wewe wakashindwa na Lisu yupo hai.sasa endelea wewe utakua kitoweo,wananchi tumechoshwa nchi kua bucha ya wapinzani !.ooh Lisu adui wa serikali ooh muhaini,ooh turuhusiwe tu muuwe,kwakua magufuli kazoea kuwatuma kufanya mabaya kwa wapinzani na kuu anawaruhusuee,sindio maana yake ? Nahajakemea hii kauli,leo mnatoa matamko baada ya kushindwa jaribio lenu, Eti mnalaani kila pembe ya mtandao Lisu kupigwa risasi na kupona !mlitaka afe mmeaibika wachawi tu nyie! Tukio la mwezi wa 9 mliandaa barua toka mwezi wa 8,mmeumbuka wanga wa kitaifa nyie.Mara atibiwe muhimbili,ili mukamsalimie hapo muhimbili,au mummalize? Hamna aibu hata ya kunawia nyuso zenu.damu za wananchi zina wasumbua tu,mnaweweseka kama mnaota !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa amebadili taswira ya Uongozi wake. Freeman Mbowe ameamua kuacha kukisaidia Chama chake kukua na kushamiri badala yake anakusudia kulivunja Taifa.
Freeman Mbowe anafanya kazi ya Uchochezi, Uchonganishi na Ugombanishi katika Nchi hii. Kwa Freeman Mbowe Amani ya Nchi hii haina maana yoyote na hapendezwi nayo, kwake ni jambo jema kuivunja na kuijutia kwa kisingizio cha Demokrasia bila wajibu.
Freeman analichonganisha Taifa,anataka kulivunja Taifa!

Ukitaka kujua kuwa Freeman Mbowe ni Mchochezi mkubwa, Mchonganishi na Mgombanishi asielitakia mema Taifa hili,usipate shida. Endelea nami....

April 12, 2016 Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni aliwaongoza Wabunge wa Ukawa kwa mara ya kwanza ktk Bunge la 11 kutoka ndani ya Bunge na kususia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Freeman Mbowe alisema wanatoka kwa sababu Bunge si mali ya Mtu mmoja,haliwezi kuendeshwa kwa namna ambayo yeye hakuona inafaa. Akasema kwamba kusitisha Matangazo ya moja kwa moja ya Bunge haikuwa haki na hivyo Wananchi wanapokwa haki yao ya Msingi. Hapo Freeman akawachonganisha Wananchi na Serikali yao!
Kwa kauli hiyo Freeman Mbowe, akawa kamwaga Mbigili ktk Nchi. Kuanzia hapo Bunge likawa halieleweki, halikaliki. Wabunge wanavaa maguo meusi,wanatoka na makaratasi vinywani,ikawa Taflani tu!
Taifa likapalaganyika! Tukarumbana,tukagombana,tukatukanana,tukavuana nguo hadharani tukidai haki bila ya kutimiza wajibu wetu. Taifa likameguka mapande mawili makubwa, hapo Kiu ya Freeman Mbowe ikatulia. Fulaha ya Freeman huja pale Watanzania wanapogawanyika na kuhasimiana.
Roho yake kwaatu! Tulioumia tukamia, tukaendelea!

Baada ya Muda hali ikatulia kidogo. Hapo tena Roho ya Freeman Mbowe ikajawa kutu. Mchochozi ni mchochezi tu, hataki watu waelewane. Freeman akaamua tena kuanzisha mradi mwingine wa kuwachonganisha Watanzania.
Huku akijua kuwa jambo hili lisingawezekana, Freeman Mbowe akatangaza Mikutano ya Kisiasa Nchi nzima.

June 07, 2016, Freeman Mbowe akawachochea Wananchi kugombana na Askali pale Kahama CDT. Watu wakapigwa wakavunjwa miguu na mbavu, Maduka yakafungwa na Safari zikasimama kwa muda wa masaa.
Uchumi wa Kahama Shinyanga ukakwama kuendelea, Taifa likakosa Mapato. Mioshi ya Mabomu ikatanda anga la Kahama kama ilivyo Sudani Kusini. Wananchi waliopigwa na kuvunjwa wakawachukia Askari wa FFU, wakajenga kisasi dhidi yao hadi sasa. Waliopigwa ni Maskini wenzangu, watoto wa Shangazi na Mjomba. Freeman Mbowe akafulahi watu kuumizwa, yeye akaruka kwa Ndege hadi Mwanza ktk Hotel ya Kifahari akaenda kupumzika huku mwanae akiendelea kula Bata London Uingereza. Siku Watanzania tutapolijua vema jambo hili, Freeman atatafuta pa kwenda! Freeman Mbowe ndie adui namba moja kwa Maendeleo na Amani yetu.

Freeman Mbowe hapendi Watanzania tuishi kwa fulaha na Amani,hataki kuona tukitumia muda mwingi kushiriki shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Kwa Freeman Mbowe, Maendeleo ni makelele na Visasi peke yake.
July hiyohiyo Freeman Mbowe kama aliyekusudia kumwaga damu ya watu wengi ndani ya Nchi hii, akaendelea na Mpango wake wa kuwavunja Watanzania.
Awamu hii akawatuma Vijana wake Patric Ole Sosopi na Patrobas Katambi kulifitini Taifa,kulichonganisha na kuligombanisha. Kwa ujinga wao hawa wakazunguka Nchi nzima kuongea ujinga mtupu. Wakawapigia makelele Watanzania yasiyo na maana yoyote. Wakajiandaa na safari isiokuwepo ya kwenda Dodoma kuzuia Mkutano Maalumu wa CCM. Wananchi wakashindwa kufanya kazi zao,kila kukicha Sosopi na Patrobas wanapanga ya kwao!
Waliowasikiliza na kuwafuata wengi waliangukia Lumande kwa kiburi chao. Taifa likawa limeingia katika Dosari nyingine, Watanzania tukagawanyika tena. wakaona kuwa hapakua na usawa,kwamba wako walioonewa kwa jambo lile. Umoja na Mshikamano wetu Vikapungua. Freeman akaruka,akacheka kwa shangwe kwamba amekamilisha kazi yake vema. Watanzania lazima tugombane!
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama amegeuka Mchochezi wa Virugu Nchini.

Ya Dodoma yakaisha,walichobakishiwa Watanzania ktk mioyo yao wanajua wao!

Freeman Mbowe ameitangaza tarehe moja Septemba kuwa siku ya Uvunjifu wa Amani Tanzania. Kimsingi, Amani haiwezi kuvunjwa bila watu kadhaa kufariki Dunia, kwa hiyo Freeman Mbowe ametangaza tarehe moja Septemba siku ya maafa Tanzania. Wajinga wenzake wakakubalina nae juu ya ujinga wa kiwango kile. Ni bahati mbaya kuwa katika wao wamo Maprofesa na Madaktari. Ila Wajinga ni wajinga tu hata kama ni Maprofesa na Madaktari.

Wakati mwingine Freeman Mbowe anajitukanisha yeye mwenyewe!
Akili za kijinga vile alikua nazo mwanangu wakati akiwa mdogo sana. Kwamba matatizo ya Kisiasa ya Nchi hii yanaweza kutatuliwa kwa kutengeneza Matatizo mengine. Yaani tunaweza kutengeneza Demokrasia kwa kuua watu,kuandamana na kutofanya kazi za kujenga uchumi. Ni Freeman Mbowe pekee na kundi lake ndio wasiofahamu kuwa agenda ya Watanzania kwa sasa sio Demokrasia. Kwamba Watanzania sasa wanataka Maendeleo peke yake, Full stop!

Freeman Mbowe tukufundishe hadi lini kuwa Maendeleo na Demokrasia haviendi pamoja?
Ni bahati mbaya unawaongoza watu kudai wasichokijua! Hata kama unamaanisha kweli lakini kama walio nyuma yako hawajui ulichonacho, huo utakua uhalifu tu!
Achana na mawazo ya harakati,jenga awareness hii hatua itakuja yenyewe bila wewe kusema. Maandamano ni hatua ya juu kabisa baada ya watu kuwa na Conscious. Otherwise utaua watu wa Mungu bure!

Wewe ulisoma wapi Brother?
Ujinga wako utatufanya wengine tuonekane tunakufundisha uhaini na vyama vyetu kwa uzembe wako wa kufikiri. Sasa unawaandamanisha watu kwa ushabiki tu. Hawajui kiini cha dhamira hiyo, hawajui faida ya kufanya na hasara ya kukosa kufanya. Mtu asiyejua sababu za kuandamana kwake hawezi kwenda mbali zaidi! Utaua watu bure. Maandamano ya mara kwa mara yatahesabiwa kama Mapinduzi dhidi ya Serikali iliyopo Madarakani. Ni ujinga kurudiarudia jambo linalokushinda kulitimiza. Huu ni uchochezi usio na msingi kwa Wananchi na Taifa lao. Waache watu wajenge Nchi yao!

. Unachokihitaji ni kikubwa kuliko uwezo wako ndio maana unakosea kila uanzapo! Achana na miradi hiyo italiangamiza Taifa bure. Kwa kuwa ulikataa wenye akili kuongoza Chama chako, sasa zoea tu!
Rais wa sasa amekuzidi kwa kila kitu, anakuzidi akili,kakuzidi timing, kakuzidi Publicity, kakuzidi Populality. Yaani kakuzidi kila kitu!
Kwamba kila unalowaza kulifanya utajikuta unabaki peke yako! Huwezi kwenda mbali,jifunze kuanza upya pale unapokwama.
Huu ni ushauli wa bure, achana na Maandamano maana hio sio Sera ya Chama chako. Taifa kwa sasa linahitaji nguvu kubwa ktk Mageuzi ya Kiuchumi na Kijamii. Fullstop!

Watanzania mpuuzeni Freeman Mbowe!
Hakuna anakowapeleka zaidi ya Mauti ya kujitakia. Mwacheni mwenyeye akafie huko atakako hiyo Septemba mosi. Hajui anataka nini,mwambieni ajiandae kwanza asiwapigie makelele ya kilevilevi!
Hovyooooo!!!
Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Chama aliegeuka Mchochozi wa Vurugu kwa Uvivu wa kufikiri!
unachuki binafsi ama uko kikazi zaidi, povu jiiiingi ulichoandika ni uwakala. KILA MTU ANA JIBU, UNAJIDANGANYA MWENYEWE............!!!!
 
Back
Top Bottom