Tetesi: Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa chama taifa aliyegeuka mchochezi wa vurugu nchini

Mnaotetea uhalifu wa wazi wa Mbowe ni wapumbavu na Malofa. Mbowe mwenyewe, pamojana kuwa na wanasheria, wanatambua madaraka makubwa aliyonayo Rais Kikatiba. Kama Rais amevunja Katiba, Katiba hiyo hiyo inatoa ruhusa Rais kushitakiwa, nanukuu:

"Bunge laweza kumshtaki Rais Sheria ya 1992 Na.20 ib.8 Sheria ya 1995 Na.12 ib.4Sheria ya ....46A.-(1) Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii.(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama inadaiwa kwamba Rais-(a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba, au(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano, na haitatolewa hoja ya namna hiyo ndani ya miezi kumi na miwili tangu hoja kama hiyo ilipotolewa na ikakataliwa na ikakataliwa na Bunge."

Mh Mbowe, kama mbunge na Mwenyekiti wa Chama kikuu cha siasa, analijua hili, lakini anahamasisha maandamano. Tarehe 1/9, asitaje kuahirisha ila awe msitari wa mbele kwenye hayo maandamano, ndio atajua uwezo na madaraka ya Urais anaoutafuta kila kukicha.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Nafikiri huelewi maana ya upinzani,
Nafikiri pia hujui haya maendeleo unayoyaona kwamba yameletwa Na juhudi za hao unaowaita wachochezi,
-umeshundwa kueleza sababu za Wao kususia vikao vya bunge Ni zipi, watu wanavunja katika, kwa kunyimwa uhuru WA habari, kitendo cha serikali kuzuia Bunge kurushwa live wewe unachekelea wakati kinachozungumzwa bungeni Ni hoja za wananchi, Bunge lilianza kuwa Na adabu baada ya sisi wananchi kuona kinachoendelea Na kuwapiga chini wale wabunge vilaza, sasa ccm imeona inapoteza wabunge wengi kwakuwa tunaona mapungufu yao Halafu wewe unakuja kutueleza upuuzi hapa.

Ili serikali iwe Na adabu Ni lazima wananchi tusimame kidete kuirekebisha, huo ujinga kauandike kwenye gazeti la uhuru ndo wote mtakuwa mnaongea present tense, maana hapa sisi tunaongea future tense wewe unaongea past tense.
 
Wanaomsikiliza Mbowe kwa sasa ni wale wanao kataa kushirikisha akili zao.Na ukweli ni kwamba ukimuondoa EL na Tundu Lisu, Mbowe atabaki kama mpiga kelele tu mtaani
hivi sasa anabebwa na hao jamaa yeye binafsi alishajiporomosha siku nyingi labda tu kama hamumchunguzi kwa makini
 
Mmmh!!tutafka kweli kama watu wenyewe mawazo yao ndio kama haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umetumwa ee, unagari la kumfuatilia Mbowe ili umpige risasi ? Na wenzio walianza kama wewe wakashindwa na Lisu yupo hai.sasa endelea wewe utakua kitoweo,wananchi tumechoshwa nchi kua bucha ya wapinzani !.ooh Lisu adui wa serikali ooh muhaini,ooh turuhusiwe tu muuwe,kwakua magufuli kazoea kuwatuma kufanya mabaya kwa wapinzani na kuu anawaruhusuee,sindio maana yake ? Nahajakemea hii kauli,leo mnatoa matamko baada ya kushindwa jaribio lenu, Eti mnalaani kila pembe ya mtandao Lisu kupigwa risasi na kupona !mlitaka afe mmeaibika wachawi tu nyie! Tukio la mwezi wa 9 mliandaa barua toka mwezi wa 8,mmeumbuka wanga wa kitaifa nyie.Mara atibiwe muhimbili,ili mukamsalimie hapo muhimbili,au mummalize? Hamna aibu hata ya kunawia nyuso zenu.damu za wananchi zina wasumbua tu,mnaweweseka kama mnaota !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unachuki binafsi ama uko kikazi zaidi, povu jiiiingi ulichoandika ni uwakala. KILA MTU ANA JIBU, UNAJIDANGANYA MWENYEWE............!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…