Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,643
Huwa nafurahi sana pale nikiwaona wapo karibu kwani siyo Siri kwa Utanashati wa Freeman Mbowe na Urembo wa Halima Mdee huwa wanapendezana mno kiasi kwqmba natamani Siku moja nije kusikia ama wana Mahusiano yao au hata wanatarajia Kufunga Pingu za Maisha.
Waufanyie Kazi Ushauri wangu tafadhali kwani utawajenga vizuri zaidi hata Kidemokrasia na Kisiasa vile vile pia.
Waufanyie Kazi Ushauri wangu tafadhali kwani utawajenga vizuri zaidi hata Kidemokrasia na Kisiasa vile vile pia.