Freeman Mbowe na Halima Mdee wangekuwa Mume na Mke wangependeza sana!

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,643
Huwa nafurahi sana pale nikiwaona wapo karibu kwani siyo Siri kwa Utanashati wa Freeman Mbowe na Urembo wa Halima Mdee huwa wanapendezana mno kiasi kwqmba natamani Siku moja nije kusikia ama wana Mahusiano yao au hata wanatarajia Kufunga Pingu za Maisha.

Waufanyie Kazi Ushauri wangu tafadhali kwani utawajenga vizuri zaidi hata Kidemokrasia na Kisiasa vile vile pia.
 
Kwani baba yake mdee ana chama cha siasa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi napendezana na nani mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kujipeleka kwa Mbowe kama una hamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…