Hiyo ni sigaraMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Haahahahaha una mambo wewe hahahWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Yaan umenipunguzia stress za leo hahaaha naona nitapata usingiz hahaahahHaahahahaha una mambo wewe hahah
Yupo channel ten katika kipindi cha Mimi na Tanzaniahuyo miss yu wapi siku hizi
SigaraMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Hahaha Kwahiyo town kaja majuzi tuWakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Yupohuyo miss yu wapi siku hizi
Alikuwa tayari ameshamaliza chuo kikuu na pia naibu waziri. Kalagabaho na Mbowe wako.Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ili wajue kama una simuEnzi za vimobitel. Unategesha alarm ukiwa kwenye kadamnasi ya watu halafu unapokea haloo kwa sauti kubwa.