KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,514
- 2,325
Wakati huo baba zenu wanalima mihogo Vikindu HahahahahahaNa kuogelea kwenye madimbwi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo baba zenu wanalima mihogo Vikindu HahahahahahaNa kuogelea kwenye madimbwi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au kama ndo unaenda kwenye shughuli labda harusini.unamwambia mtu nyumbani basi ndo naenda hivi usisahau uwe unanidipu inapigwa simu kila mara wewe unakata, halafu unajidai dah sijui nani anasumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ili wajue kama una simu
Umenichekesha sana...Yaani mkuu supermarket kubwa ilikuwa ile ya kujitegea "alarm" ili simu iiite mara kwa mara.Lengo ni kuonyesha kuwa na wewe una simu.I remember my "bird"...simu ya kwanza kuimilikiAu kama ndo unaenda kwenye shughuli labda harusini.unamwambia mtu nyumbani basi ndo naenda hivi usisahau uwe unanidipu inapigwa simu kila mara wewe unakata, halafu unajidai dah sijui nani anasumbua
Mbowe sio wangu acha uzuzu.Alikuwa tayari ameshamaliza chuo kikuu na pia naibu waziri. Kalagabaho na Mbowe wako.
Hahaha.Hahaha Kwahiyo town kaja majuzi tu
Mi sijasema.Na kuogelea kwenye madimbwi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo yapi mkuu? Kwani uongo?Haahahahaha una mambo wewe hahah
Simu zilikuwa hazina memory card lkn tulikuwa tunaskiliza mziki mfano nokia ringtoneUmenichekesha sana...Yaani mkuu supermarket kubwa ilikuwa ile ya kujitegea "alarm" ili simu iiite mara kwa mara.Lengo ni kuonyesha kuwa na wewe una simu.I remember my "bird"...simu ya kwanza kuimiliki
Sasa sio sio anasa tena na alama ya "utajili",bali ni one of the basic need!!Inatukutanisha JF,Fb na sehemu mbalimbali kusoma magazeti na habari.Enzi hizo ilikuwa kupiga,kupokea na ujumbe mfupi.Ila sasa bila "simu janja" mtu huoni kama una simu
Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola" kama unataka "kum-deep" jamaa yako.
Ndani ya Bills aka Bilicanas....Ile ya NHC na Mchechu!!Wakati wakina fulani wana miaka minne tu ya Ubunge.Hoyce Temu Miss Tanzania 1999 na Aikael F. Mbowe.Kumbukumbu ya wakati huo.Ama hakika wakati ni ukuta.Nyakati ngumu hudumu,lkn watu wagumu hupita na kutoweka!!
View attachment 398441
tina turnerYeah kitambo,naukumbuka ule wimbo uliokuwa tangazo wa hiyo sigara Aspen,wa Diana Ross nadhani..
Ni wengi lakini direct unaonekana lengo lako ni kupoint kwa John.Ni nani huyo kwani mkuu Tino100 kati ya Wabunge waliowahi kuwa wabunge wa Tz?
Anafanya United nationshuyo miss yu wapi siku hizi
Unaogopa uchochezi eeeMi sijasema.
mwan umeshusha notes hadi nimependa, i wish ndo ungesikika sauti yako vile ulivyoelezea.....Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola" kama unataka "kum-deep" jamaa yako.
Ndani ya Bills aka Bilicanas....Ile ya NHC na Mchechu!!Wakati wakina fulani wana miaka minne tu ya Ubunge.Hoyce Temu Miss Tanzania 1999 na Aikael F. Mbowe.Kumbukumbu ya wakati huo.Ama hakika wakati ni ukuta.Nyakati ngumu hudumu,lkn watu wagumu hupita na kutoweka!!
View attachment 398441