Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Au kama ndo unaenda kwenye shughuli labda harusini.unamwambia mtu nyumbani basi ndo naenda hivi usisahau uwe unanidipu inapigwa simu kila mara wewe unakata, halafu unajidai dah sijui nani anasumbua
Umenichekesha sana...Yaani mkuu supermarket kubwa ilikuwa ile ya kujitegea "alarm" ili simu iiite mara kwa mara.Lengo ni kuonyesha kuwa na wewe una simu.I remember my "bird"...simu ya kwanza kuimiliki

Sasa sio sio anasa tena na alama ya "utajili",bali ni one of the basic need!!Inatukutanisha JF,Fb na sehemu mbalimbali kusoma magazeti na habari.Enzi hizo ilikuwa kupiga,kupokea na ujumbe mfupi.Ila sasa bila "simu janja" mtu huoni kama una simu
 
Simu zilikuwa hazina memory card lkn tulikuwa tunaskiliza mziki mfano nokia ringtone
 
Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola" kama unataka "kum-deep" jamaa yako.

Ndani ya Bills aka Bilicanas....Ile ya NHC na Mchechu!!Wakati wakina fulani wana miaka minne tu ya Ubunge.Hoyce Temu Miss Tanzania 1999 na Aikael F. Mbowe.Kumbukumbu ya wakati huo.Ama hakika wakati ni ukuta.Nyakati ngumu hudumu,lkn watu wagumu hupita na kutoweka!!

View attachment 398441

Kumbukumbu nzuri sana ila uzi mzuri kidogo, "Wakina fulani wana miaka minne tu ya ubunge" Binafsi sijaona sababu ya kumbeza huyo aliyekua na miaka minne ya ubunge.
 
Ni nani huyo kwani mkuu Tino100 kati ya Wabunge waliowahi kuwa wabunge wa Tz?
 
Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola" kama unataka "kum-deep" jamaa yako.

Ndani ya Bills aka Bilicanas....Ile ya NHC na Mchechu!!Wakati wakina fulani wana miaka minne tu ya Ubunge.Hoyce Temu Miss Tanzania 1999 na Aikael F. Mbowe.Kumbukumbu ya wakati huo.Ama hakika wakati ni ukuta.Nyakati ngumu hudumu,lkn watu wagumu hupita na kutoweka!!

View attachment 398441
mwan umeshusha notes hadi nimependa, i wish ndo ungesikika sauti yako vile ulivyoelezea.....

Mbowe atabaki kuwa jembe la majembe tu....dadeki.....
 
Back
Top Bottom