Mkabila sana huyu mwenyekiti wetu Mbowe. Ni mwemyekiti lakini leo nimemdharau sana. Nimeanalyse ile discourse, stylistically anamaanisha chama kianze harakati za kutetea wachaga dhidi ya wasukuma! Sijui wanachama wasukuma walivyoipokea hiyo political discourse ya mwenyekiti! Sijui, naweza andika mengi sana ila itoshe tu kusema kuwa nimeghadhabishwa sana na maneno ya mwenyekiti. Ukabila, uoga na unafiki wa mwenyekiti umemkosesha sifa ya kuwa kiongozi wa taasisi yeyote ya kitaifa. Labda katiba ya chama ibadilishwe itamke bayana kuwa ni chama cha wachaka! Ovyo kabisa.
Sent from my Infinix X624 using
JamiiForums mobile app