Freeman Mbowe na Jopo lake Waingia Bunda, aongoza kikao cha Mashauriano

Sawa komredi.....

Mashauriano yenyewe yamehusisha pia YALE MANENO YAKE YA tuhuma za UKABILA dhidi yake na watu wa Kaskazini ?!!!!

#TaifaLetuNiMoja
#WanasiasaWaacheMbelekoYaUkabila
 
Mkabila sana huyu mwenyekiti wetu Mbowe. Ni mwemyekiti lakini leo nimemdharau sana. Nimeanalyse ile discourse, stylistically anamaanisha chama kianze harakati za kutetea wachaga dhidi ya wasukuma! Sijui wanachama wasukuma walivyoipokea hiyo political discourse ya mwenyekiti! Sijui, naweza andika mengi sana ila itoshe tu kusema kuwa nimeghadhabishwa sana na maneno ya mwenyekiti. Ukabila, uoga na unafiki wa mwenyekiti umemkosesha sifa ya kuwa kiongozi wa taasisi yeyote ya kitaifa. Labda katiba ya chama ibadilishwe itamke bayana kuwa ni chama cha wachaka! Ovyo kabisa.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
hana akili huyu mbumbumbu Mr Maigizo
 
Faru John bhana eti amevaa barakoa wakati ameshachomwa chanjo!! Halafu amevaa pekee yake tu. Vipi bado anaendelea na sera zake za ukabila.
Hana akili huyu mkabila huyu yaani zero brain DJ I CANT BREATHE
 
Anajaribu kuwabagua wasukuma waliomo chamani Kwa kuwachonganisha na wachaga wenzake, mpuuzi Sana huyo mkongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ