3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 May 31, 2021 #41 Chadema ni Msingi
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 May 31, 2021 Thread starter #42 3llyEmma said: Chadema ni Msingi Click to expand... Hakika !
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 May 31, 2021 #43 Jumbe Brown said: Sawa komredi..... Mashauriano yenyewe yamehusisha pia YALE MANENO YAKE YA tuhuma za UKABILA dhidi yake na watu wa Kaskazini ?!!!! #TaifaLetuNiMoja #WanasiasaWaacheMbelekoYaUkabila Click to expand... Huwezi raja ukabila au kusini kama huwazi kikabila na kusini. Kuwaza ukabila karnes ya 21 ni upunguani
Jumbe Brown said: Sawa komredi..... Mashauriano yenyewe yamehusisha pia YALE MANENO YAKE YA tuhuma za UKABILA dhidi yake na watu wa Kaskazini ?!!!! #TaifaLetuNiMoja #WanasiasaWaacheMbelekoYaUkabila Click to expand... Huwezi raja ukabila au kusini kama huwazi kikabila na kusini. Kuwaza ukabila karnes ya 21 ni upunguani
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 May 31, 2021 #44 Yeye kachanjwa alafu kavaa barakoa huku wafuasi wake ambao hawajachanjwa hawana barakoa! . Mbowe ni msanii sana
Yeye kachanjwa alafu kavaa barakoa huku wafuasi wake ambao hawajachanjwa hawana barakoa! . Mbowe ni msanii sana
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 May 31, 2021 #45 Crimea said: Yeye kachanjwa alafu kavaa barakoa huku wafuasi wake ambao hawajachanjwa hawana barakoa! . Mbowe ni msanii sana Click to expand... Umelima hilo tu
Crimea said: Yeye kachanjwa alafu kavaa barakoa huku wafuasi wake ambao hawajachanjwa hawana barakoa! . Mbowe ni msanii sana Click to expand... Umelima hilo tu
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 May 31, 2021 #46 yuko wapi mwenyekiti wa Bavicha? sauti ya zege? wapi Matiku? hivi vifaa ni assets sio mchezo. sijui kwa nn chadema walishindwa kuwalinda watu kama hawa.
yuko wapi mwenyekiti wa Bavicha? sauti ya zege? wapi Matiku? hivi vifaa ni assets sio mchezo. sijui kwa nn chadema walishindwa kuwalinda watu kama hawa.