Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

Chadema ni wauwaji i see

Leo.mpaka Mwigulu ameshindwa kunitetea anajiumauma tu maana wanajua wapi walimpeleka na walifanya nini.Chama Kikuu cha Mauaji hamumuogopi hata Mungu kisa ati.PhD mpaka mnataka kijana wa watu.

Leo.WM ameshindwa hata kujibu hoja ya maana sababu anajua CCM wamefanya nini.Kazi kuteka kutesa na kuua watu wanaohoji.Hivi PhD mpaka mtie roho ya MTU.Wauaji nyie mmelaaniwa mpaka na viazi vyenu
 
hi

hivi ulimboka alitekwa na nani mkuu?.....imran kombe aliuawa na nani?.......................kolimba je?
AKINA KASIM Hanga,othman shariff na sadala walipotezwa na mbowe au?

Hawa ni wauaji Mkuu si umemuona yule WM pale macho yamemtoka anashindwa hata kuongea.

Damu ya mtu inatesa na mpaka waingie kaburini watateseka sana.Wauaji hawa.
 
Kadri siku zinavyopita, watu wanazidi kuumbuka. Mbowe ajitokeze na kutueleza wapi alipo Ben Saanane

Na bado mtahangaika sana wauaji nyie.WM na AG wameshindwa hata kujibu maswali wamebaki wametoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango.

Kutoka kuua Tembo sasa mmeanza kuua Watanzania wasio na hatia.

Mnalaana mpaka kizazi chenu cha mwisho wauaji wakubwa nyie hamna hata haya.Hamstahiki hata kuwepo ulimwenguni.
 
Daaa RIP
 
Dah yaani bens8 aliuliwa na mbowe ni kama ilivyokuwa kwa lisu, yaani unatumwa kumshambulia rais then wanakuua. Ni kama ilivyo kwa sativa wanakutuma umshambulie rais then wanakuua. Hahaha
 
Lissu For Chairperson..


....Ni Hayo Tu!!
 
Lizaboni kafia wapi???
Long time no see his posts.
 
Ukweli hauhitaji wakili.. Ukweli hauhitaji kutetewa bali ukweli ujitetea wenyewe. Ni suala la muda tu yote yatakuwa bayana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…