Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

Una kumbuka YERICKO na Malisa walivyo jiteka kutafuta kiki?
Ni kweli Mkuu. Juzi Malisa alipotoka Arusha akajiteka na kupotea mitandaoni kwa siku tano. Alipoibuka wakajua ni maandalizi ya Ben kurejea. Bado twamsubiri
 
Ni kweli Mkuu. Juzi Malisa alipotoka Arusha akajiteka na kupotea mitandaoni kwa siku tano. Alipoibuka wakajua ni maandalizi ya Ben kurejea. Bado twamsubiri
Nakupa wiki mbili Ben ataibuka....hakika chadema wana mbinu za kipumbavu sana tena sana
 
Kaeni kimya mtakuja kuumbuka bure.
Hizi propaganda chafu zinaweza kukuponza. Leo unalo Dora kesho si lako
 
Kwa maelezo Hayo
Mbowe akamatwe na kuwekwa ndani
Bila kumsahau Huyo Dada alie sema yupo A.kusini
Hawa wanajua
 
Kaeni kimya mtakuja kuumbuka bure.
Nakumbuka Kuna kijana wa uvccm aliwahi kupost Facebook akiwatishia maisha vijana wa chadema akiwemo Ben.

Hizi propaganda chafu zinaweza kukuponza. Leo unalo Dora kesho si lako
Huna wakumtisha
Mnatafuta kick hahaha
 
Hivi mkuu na akili zako zote unaamini Ben kapotea. Unatutia aibu CCM
 
Kamanda jiteke tupate kiki
 
Naona Siku hizi mbowe na chadema,wamekuwa jeshi LA polisi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Naona Siku hizi mbowe na chadema,wamekuwa jeshi LA polisi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wao ndio waajiri wa Ben Saanane. Ndio walipaswa kuwa wa kwanza kueleza nini kinaendelea juu ya ukimya wa Ben Saanane badsla ya kuwaachia familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…