mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tokea serikali ifungie gazeti la mwanahalisi kwa kufichua trend ya utekwaji wa ulimboka sina imani nayo!Yaani mtu anakupa taarifa,mpaka mawasiliano yaliyokuwa yanafanyika kati ya ulimboka na watekaji halafu unaamua kufungia gazeti badala ya kufuatilia taarifa zile!ShameTeh Teh hii ni mbinu ya chadema ya kutaka serikali ionekane imemteka kumbe wamemficha au kajiteka..
Ukweli utakuwa wazi,hii ni mihemko tu!Itapitahakika kuna tatizo. Wakati wanachana wengine wa CHADEMA na hata Gazeti la Tanzania Daima wakithibitisha kuwa Ben alikuwa Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa CHADEMA, GODLITSEN Malisa, Kada maarufu wa CHADEMA ambaye naye alisemekana amepotea sambamba na Ben anaibuka na kusema tuipuuze taarifa ya Kuwa Ben alikuwa mkurugenzi wa Sera na Utafiti na kwamba taarifa hiyo ni ya uongo. Malisa anataka kutuambia nini? Kuna tatizo hapo. Mwanachama mwingine wa CHADEMA maarufu katika mtandao wa kijamii wa facebook, Kwinyara Kwintara Kwinyara anaandika shutuma nzito kwenye ukurusa wake wa facebook akiutuhumu uongozi wa CHADEMA kwa jinsi usivyochukulia kwa uzito suala la Ben, halafu kutaka kuonesha kuwa ataeleweka vibaya kwa viongozi wake anarudi anasema akaunti yake imeingiliwa. Hapo napo kuna tatizo. Malisa na Kwinyara Kwintara Kwinyara wote ni watu wako karibu sana MBOWE. Ukiunganisha haya ya Malisa na Kwinya na hii mada hakika, nadiriki kusema kuna giza totoro. Tumuombe tu Mungu aepushe haya tunayoyawaza. Tunaweza kutofautiana kiitikadi lakini linapokuja suala la uhai wa binadamu lazima muungane katika sintofahamu ya kila aina, sote ni wana wa adam.
Hahahahahaaaaaaaaaa. Jadili hoja kamandaTokea serikali ifungie gazeti la mwanahalisi kwa kufichua trend ya utekwaji wa ulimboka sina imani nayo!Yaani mtu anakupa taarifa,mpaka mawasiliano yaliyokuwa yanafanyika kati ya ulimboka na watekaji halafu unaamua kufungia gazeti badala ya kufuatilia taarifa zile!Shame
Muda utasema, tusubiri.Inasikitisha sana aiseeeee. Familia yake wanahangaika kwa jumq moja sasa na chama kimekaa kimyaaaaaa!
Mbowe atakuaja na operesheni nyingine na kuiita ya kumtafuta Ben, kumbe anajua aliko. Hatari sana jamaahahahahaha mkuu unajua unanivunja mbavu sna na unaongea ukweli kabisa Mbowe anamtafutia kiki Ben
Ndio hoja nilipoiweka,kwenye mambo ya utekaji na utesaji serikali imeshanyoshewa vidole mara nyingi!Hahahahahaaaaaaaaaa. Jadili hoja kamanda
MAFISANGO???Walijiamini sana,badala ya kumteka na kwenda kummaliza mafisango mafichoni,wao wakaona wamtoe utumbo hadharani
Chadema mtafuteni mchawi katika hili sakata la BEN na siyo vinginevyo. Hizi sarakasi zinazopigwa na makada wa CHADEMA siyo za heri, porojo za kutaka kuingiza serikali, mara CCM , lumumba ni ujinga ambao hata mtoto mdogo atawadharau. Msaidizi wa Mwenyekiti anapotea bila Mwenyekiti kujua wiki tatu? prooooo.Ndio hoja nilipoiweka,kwenye mambo ya utekaji na utesaji serikali imeshanyoshewa vidole mara nyingi!
waharakishe maana sasa inayoumia ni familia, akina Mbowe wako majuu wanakula bata. Nakumbuka hata Chacha Wangwe alivyofariki Mbowe alikwenda South Afrika kula Bata, kwake imekuwa kama kafaraUkweli utakuwa wazi,hii ni mihemko tu!Itapita
I meant mwangosiMAFISANGO???
Halafu Mbowe ana kawaida ya kutengeneza matukio na kwenda kujificha ng'ambo. Rejea alipoenda kusherehekea South Afrika baada ya kifo cha Chacha Wangwewaharakishe maana sasa inayoumia ni familia, akina Mbowe wako majuu wanakula bata. Nakumbuka hata Chacha Wangwe alivyofariki Mbowe alikwenda South Afrika kula Bata, kwake imekuwa kama kafara
Mkiendelea kuwa mazwazwa wa kujifika kwenye kivuli cha kwamba ni serikali hakika mtakwisha, waulizeni Zitto Kabwe, Chacha Wangwe na wengine wengine. Ulizeni kwanini wamachame wanaitwa WAPALESTINA.Tokea serikali ifungie gazeti la mwanahalisi kwa kufichua trend ya utekwaji wa ulimboka sina imani nayo!Yaani mtu anakupa taarifa,mpaka mawasiliano yaliyokuwa yanafanyika kati ya ulimboka na watekaji halafu unaamua kufungia gazeti badala ya kufuatilia taarifa zile!Shame