Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

Kuna kiongozi yeyote wa CDM amesema nani kahusika achilia mbali kulizungumzia
 
waharakishe maana sasa inayoumia ni familia, akina Mbowe wako majuu wanakula bata. Nakumbuka hata Chacha Wangwe alivyofariki Mbowe alikwenda South Afrika kula Bata, kwake imekuwa kama kafara
Umeambiwa Ben kafa?Unajua wamechukua hatua gani?Au kwako ulitaka wakimbilie vyombo vya habari kutoa matamko?
 
Mkiendelea kuwa mazwazwa wa kujifika kwenye kivuli cha kwamba ni serikali hakika mtakwisha, waulizeni Zitto Kabwe, Chacha Wangwe na wengine wengine. Ulizeni kwanini wamachame wanaitwa WAPALESTINA.
Mimi hayo sijui,kama mtu anaweza kumtanga mke wake mpaka kulazwa,wewe mtu baki atakufanya nini?
 
Wewe jamaa ni mpumbavu na mpotoshaji mkubwa sana. Kumbuka ya Dr Ulimboka, kumbuka ya yule mama mwandishi wa DW, kumbuka ya Kolimba. Angalia issue ya kutiwa ndani lema, angalia issue ya kukamatwa Lissu mara mbili Dodoma na Singida kisha kusafirishwa bila wapendwa wake kupewa taarifa yoyote kuhusu wapi alipo. Hebu acha upumbavu wako unaoendeleza humu kuhusu kupotea kwa Ben. Umeshaandika uongo mwingi humu tumechoshwa na tabia yako ya kuandika uongo.

 
Tangu lini Lizaboni akaonekana "kuguswa" na kutoonekana kwa Rabiu Saanane? Well, baada ya kufuatilia hii issue, nahisi Ben hajapotea bali yawezekana amekwenda "retreat" somewhere. Sijaona rafiki yake Malisa akihaha kumtafuta na hili lingenifanya niamini kuwa kapotea.

Si wakati wote lazima tuwe kwenye media, tunahitaji pia kupumzika. Most probably Ben amepumzika kidogo, najua pia kuwa anajiandaa kutetea PHD yake (kama sikosei) so kwa watu serious kama Ben anaweza kuwa kajitenga na hizi siasa za siasa ili apate muda wa kutimiza wajibu wake vizuri.


[HASHTAG]#justthinkingaloud[/HASHTAG]
 
Kwani hao baadhi wanachadema wanaotaka kujua ben yuko wapi si tayari mumeshaambiwa kuwa ben yuko salama tatizo lenu nini? ...tulieni. kuna baadhi ya vitu havipaswi kuwekwa wazi..je labda yuko mafunzo ya usalama utajuaje!?....acheni kiki za kipumbavu za bendera fuata upepo. wasikilizeni viongozi na muwaamini.
 
Hizi habari za kuunga kuunga ni hatari sana. Hakuna kiongozi hata mmoja wa Chadema aliyesema kuwa Ben yupo salama. Ndio kwanza Katibu mkuu alimuelekeza mdogo wa Ben anaeitwa Erasto Focus Saanane kwenda kuripoti taarifa ya kupotea kwa Ben Police. Na Erasto alifanya hivyo kwa kuripoti katika Kituo cha Police Tabata.
 
uliyeanzisha maada mbona una haraka si utoe muda wadau watakujibu
 
Wao ndio waajiri wa Ben Saanane. Ndio walipaswa kuwa wa kwanza kueleza nini kinaendelea juu ya ukimya wa Ben Saanane badsla ya kuwaachia familia
Sasa MTU kapotea,chadema ni nini wanachojua zaidi ya hicho.labda tuambie we we kinachoendelea.
 
Pole sana Mkuu. Najua unaumia sana

WEWE NI GENIUS!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…