Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

mkuu, unaposema "baada ya Ben hamjui nani atafuata" sijakuelewa. kufuata kwenda wapi? between the lines mbona unakuwa kama umefikia conclusion fulani kuhusu kutoonekana kwa Ben. fafanua hapo.
 
mkuu, unaposema "baada ya Ben hamjui nani atafuata" sijakuelewa. kufuata kwenda wapi? between the lines mbona unakuwa kama umefikia conclusion fulani kuhusu kutoonekana kwa Ben. fafanua hapo.
Kutoweka kwa Kamanda Ben Saanane ni jambo la kusikitisha hasa baada ya ishara kuonesha uhusika wa Freeman Mbowe
 
Bado sjaona ushiriki wa mbowe hapo Ila naona ushiriki wenu!!
Vp kama kunawatu walkua wanafwatlia mawasiliano yao ,Kat yake na mbowe na kutumia mwaya huo kutekeleza mauwaji hayo bila ya Wao kustikiwa?

Kwanini mnatumia nguvu nyingi kum attack mbowe? Kwa nn msiwaulize polisi ambao wakshapelekewa taarifa? je mbowe angekuwepo inchini mngetumia nguvu hizihizi mnazotumia sasa Iv kulzima hili tukio?
je kwa nn wale mait 6 walzikwa haraka haraka bila postmotam?
 
Kuna watu wanasema ni mpango wa makonda aliyeagizwa na bwana yule kumaliza na chadema wahakikishe makonda anapelekwa the Hague Mwigulu na bwana yule hapa sasa hivi kwenye hili jukwaa hamjui lizaboni ni nani ndio mutashangaa sasa hivi yupo kazini kuspin, lakini Makonda ajuwe chadema ni taifa kubwa mpaka sasa wanajuwa wamefanya nini na huyo Ben, utukufu na vyeo vya kupita ya nini mtu ujitafutie laana ya milele kutaka kumaliza watu eti kwa sababu umeulizwa PHD kama ni ya kweli au Feki
 
Kutoweka kwa Kamanda Ben Saanane ni jambo la kusikitisha hasa baada ya ishara kuonesha uhusika wa Freeman Mbowe
Ha ha Makondali hamumuwezi Mbowe ,kama mumemuuwa Ben hakika damu yake itasimama na laana itakuwa juu yenu na mutatawala kwa tabu sana Zaidi ya sasa ambapo mumeishiwa pumzi, mulimuuwa Mawazo mumemfungia Lema na sasa munajitapa hapa kuhusu Ben Makondali anagalia na chunga sana chuki munayoijenga
 
Naon. Ben na mbowe wamea za harakati za kummaliza lowasa sasa had I 2020 low as a atakua hoi sana
 
Bavicha wanaweweseka, wanamwaga upupu wakijua fika huyo Saanane alipo.
 
Tuanzie Hapa

Nani aliyekuwa nyuma ya utekaji wa Dr. Ulimboka, alikuwa na lengo gani, Na ni kina nani waliratibu, kugharamia na kutekeleza ule utesaji wa kunyofolewa kucha na macho?
 
Hali inaleta wasiwasi mwingi sana, hapa kuna ka ukafiri na hili jambo kama halikupatiwa ufumbusi basi linatuletea matatizo.

Huyu ndugu yetu kama akipatikana salaama , basi tutaona tuhuma sa kisiasa zikijengwa na kurushian makombora kati ya CDM na CCM.

Mungu apishe, ndugu yetu akipatikana kakutwa na jambo basi wanasiasa watatusumbua na siasa za kuzushiana.

This situation puts us in between a Hard place and a rock. Au wapiganapo tembo ziumiazo ni nyasi.
 

Tumethibitishiwa na uongozi kwamba yupo salama, kelele za nn sasa!!!
 
Jee kulikuwa na Siri kubwa ya chama aliyokuwa nayo ndugu Ben. Au alikuwa anamvujishia siri nying Dr Slaa na amegundulika????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…