Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

Kuna mkuu wa kambi alisema ningelikuwa mimi ndo waliimba wana imani na naye ningewapoteza wote. Hii inanipa shaka na maiti za mto Ruvu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kaeni kimya mtakuja kuumbuka bure.
Nakumbuka Kuna kijana wa uvccm aliwahi kupost Facebook akiwatishia maisha vijana wa chadema akiwemo Ben.

Hizi propaganda chafu zinaweza kukuponza. Leo unalo Dora kesho si lako
Weka picha, screenshot
 
Kuna mkuu wa kambi alisema ningelikuwa mimi ndo waliimba wana imani na naye ningewapoteza wote. Hii inanipa shaka na maiti za mto Ruvu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Teh teh teh teh .........

Mfukunyuku wewe kweli
 
R.I.P kolimba
 
Kutoweka kwa Kamanda Ben Saanane ni jambo la kusikitisha hasa baada ya ishara kuonesha uhusika wa Freeman Mbowe
Mumkamate huyo Mbowe km kuna ishara ya ushiriki wake ktk hilo tukio! Mnashindwa nini?

Jamani hebu tuacheni propaganda chafu na tufanye siasa safi na si za kiaharamia kwa mustakabali Wa maendeleo ya taifa letu huku kila mtanzania akiwa sawa na mtanzania mwingine iwe wapinzani au watawala maana kwa kufurahia hivi vitendo iwe vimetokea kwa Ben kwa namna yoyote ile sio vzr. Sote ni watz na wote tuna haki sawa ya kufurahia kuishi ktk hii nchi yetu.
 
Kwa andiko lako na hoja zako chochote kibaya kitakacho mkumba ben....ccm ndio wausika wakuu.

Maana ya Ulimboka mlianza hivyi hivyi....wakina jack zokw wapya watakuja
 
Kwa mwana lumumba kufanya siasa bora zenye staa siyo rahisi maana wanalipwa kwa hizo hizo siasa za majitaka
 
Kwa mwana lumumba kufanya siasa bora zenye staa siyo rahisi maana wanalipwa kwa hizo hizo siasa za majitaka
Hicho sio kitu kizuri Ata kidogo cha kuweza kufurahia.

Km mtu anaethamini uhai na haki ya kuishi ya mwanadamu mwenzake hawezi kufurahia hivi vitendo Ata kidogo. Maana tunaweza kuona kua kuna watu hawana haki ya kuishi ktk hii nchi na kuna wengine wanayo. Hii si nzuri Ata kidogo.

Tena wangekua na busara wangekaa kimya na kuacha vyombo husika vikifatilia hili swala na kusubiri tupewe taarifa kamili. Lkn wanavyofanya na kuja na hizi hoja au propaganda mbovu wanazidi kuwaumiza watz wenye upendo Wa kila RAIA na nchi yao.
 
Tulishasema kuwa vijana wa lumumba ni bomu la kutegwa hapa nchini tanzania kwani kauri zao zinajionyesha hivyo,wao wenye haki ya kuishi hapa tanzania ni wana ccm tu
 
Tulishasema kuwa vijana wa lumumba ni bomu la kutegwa hapa nchini tanzania kwani kauri zao zinajionyesha hivyo,wao wenye haki ya kuishi hapa tanzania ni wana ccm tu
Tuwe na subira mkuu. Tusubiri vyombo husika kuja na taarifa kamili.
 
Hilo ndio jambo la msingi
Mungu ibaraki Tz, Mungu mbariki Rais wetu, Wabariki na watu Wa Tz wote.

Hekima, Umoja, Amani na upendo vikadumu kwa kila mtz.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Mungu ibaraki Tz, Mungu mbariki Rais wetu, Wabariki na watu Wa Tz wote.

Hekima, Umoja, Amani na upendo vikadumu kwa kila mtz.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…