Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unafiki, ameshakosoa elimu ya mkuu.Inawezekana mnajua alipo kwa sasa.Hivi na nyie siku hizi mna huruma na wapizani!Inasikitisha sana aiseeeee. Familia yake wanahangaika kwa jumq moja sasa na chama kimekaa kimyaaaaaa!
anafuraha tele makondali na hela za ma GSM na amri wakitoa kwa kushirikiana na yule aaliyesema wamekufa ni wahamiaji wameshakunywa vinyo tuwaaone kama wao wataishi milele eti ukuu wa mkoa n. uwairi uraisi unakugeuza kuwa muuaji hutaki kuhojiwa wala kupingwa viongozi wa Africa wa ajabu sana ndio maana mpaka leo we are in a dark continentPropaganda za ccm kupitia Lizabon.
Mmempeleka wapi rafiki yangu Ben-Rabiu Ben-Rabiu Wa Saanane
Amewatumikia kwa muda mrefu na kwa hali ngumu
Hotuba mnazozisikia Mbowe akihutubia si zake ni za rafiki yangu Ben
Kwenye mambo ya mikakati na sera anajitolea kwa kiasi kikubwa
Kiufupi Ben ndiye kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani
Nililiona Kundi la Wanasheria lililokwenda kumtetea mtu anayetukana watu na anayetaka Rais afe Kule Arusha lakini nasikitika sijaona kiongozi wa Chadema akizungumzia kuhusu Ben.
Nawaona wakila bata Ulaya huku Ben asifahamike mahali alipo,
Naamini safari hii Joyce Mukya hajasafiri naye kama ilivyo kawaida yake if other things remain constant!
Binafsi nimeumia sana na hili na litawarudisha nyuma vijana wenu wengi kwasababu Ikiwa huyu ni Ben mnayeshinda naye Makao makuu mnamfanyia hivi vipi kuhusu mdogo wangu Mwanakijiji Lugusi, ama Charles Francis, ama Malisa na Eliza Beth si ndio mtafanya sherehe kabisa siku wakipotea?
Hivi nyie viongozi mnaweza kukaa kimya siku Lema akipotea?
Mnaweza kukaa kimya siku Joyce Mukya akipotea?
Mnaweza kukaa kimya siku Lowassa akipotea ingawa ametoka Ccm juzi na yupo kwenu kwa ajili ya Urais tu, au kwasababu Lowassa ana pesa na rafiki yangu Ben hana?
Ndio maana mkampa na Ujumbe wa kamati kuu!
Sidhani kwa kiongozi mwenye akili timamu aliyepata sifa kutokana na uwezo wa maandiko ya Ben, anayeonekana Msomi kutokana na Elimu ya Ben kusafiri kwenda Ughaibuni huku msaidizi wako akiwa hajulikani mahali alipo!
Niliwahi kumshauri Ben achana nacho hiki Chama, hiki Chama ni cha kihuni hakina fadhila,kilimuacha Dr Slaa na kumtukana na kumuita msaliti huku dada yangu Josephine Mushumbusi akitukanwa kila aina ya tusi kwasababu ya pesa za Lowassa.
Leo wamemuacha rafiki yangu bila kuuthamini utu wake,akili na nguvu zake alizozitumia kuiinua Chadema!
Nakumbuka ndoto zako za kumrithi Comrade Joseph Selasini kule Rombo lakini Viongozi wako wa Chadema hawalioni hili!
Wapo Ulaya wanastarehe!
Naishukuru serikali kwa kuonesha ushirikiano mkubwa wa kukutafuta na naiomba iendelee kushughulikia suala hili!
Nakuombea Popote ulipo rafiki yangu uwe salama
Safety be upon you in the almighty name of JESUS CHRIST!
Aluta Continua, Victory Ascerta!
Hujui unachosema. Tulia ujifunze ndiyo uchangie mada. Unajua aliko Ben? Unawalaumu viongazi kwa lipi unalolijua kuhusu kupotea kwa Ben? Usikurupuke kuongea mabo ambayo huwezi kuyasimamia. Tulia jifunze hekima. Uliza serikali yako, kwanini wale watu saba wamezikwa bila kufanyiwa uchunguzi wajulikane ni kinanani?Mmempeleka wapi rafiki yangu Ben-Rabiu Ben-Rabiu Wa Saanane
Amewatumikia kwa muda mrefu na kwa hali ngumu
Hotuba mnazozisikia Mbowe akihutubia si zake ni za rafiki yangu Ben
Kwenye mambo ya mikakati na sera anajitolea kwa kiasi kikubwa
Kiufupi Ben ndiye kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani
Nililiona Kundi la Wanasheria lililokwenda kumtetea mtu anayetukana watu na anayetaka Rais afe Kule Arusha lakini nasikitika sijaona kiongozi wa Chadema akizungumzia kuhusu Ben.
Nawaona wakila bata Ulaya huku Ben asifahamike mahali alipo,
Naamini safari hii Joyce Mukya hajasafiri naye kama ilivyo kawaida yake if other things remain constant!
Binafsi nimeumia sana na hili na litawarudisha nyuma vijana wenu wengi kwasababu Ikiwa huyu ni Ben mnayeshinda naye Makao makuu mnamfanyia hivi vipi kuhusu mdogo wangu Mwanakijiji Lugusi, ama Charles Francis, ama Malisa na Eliza Beth si ndio mtafanya sherehe kabisa siku wakipotea?
Hivi nyie viongozi mnaweza kukaa kimya siku Lema akipotea?
Mnaweza kukaa kimya siku Joyce Mukya akipotea?
Mnaweza kukaa kimya siku Lowassa akipotea ingawa ametoka Ccm juzi na yupo kwenu kwa ajili ya Urais tu, au kwasababu Lowassa ana pesa na rafiki yangu Ben hana?
Ndio maana mkampa na Ujumbe wa kamati kuu!
Sidhani kwa kiongozi mwenye akili timamu aliyepata sifa kutokana na uwezo wa maandiko ya Ben, anayeonekana Msomi kutokana na Elimu ya Ben kusafiri kwenda Ughaibuni huku msaidizi wako akiwa hajulikani mahali alipo!
Niliwahi kumshauri Ben achana nacho hiki Chama, hiki Chama ni cha kihuni hakina fadhila,kilimuacha Dr Slaa na kumtukana na kumuita msaliti huku dada yangu Josephine Mushumbusi akitukanwa kila aina ya tusi kwasababu ya pesa za Lowassa.
Leo wamemuacha rafiki yangu bila kuuthamini utu wake,akili na nguvu zake alizozitumia kuiinua Chadema!
Nakumbuka ndoto zako za kumrithi Comrade Joseph Selasini kule Rombo lakini Viongozi wako wa Chadema hawalioni hili!
Wapo Ulaya wanastarehe!
Naishukuru serikali kwa kuonesha ushirikiano mkubwa wa kukutafuta na naiomba iendelee kushughulikia suala hili!
Nakuombea Popote ulipo rafiki yangu uwe salama
Safety be upon you in the almighty name of JESUS CHRIST!
Aluta Continua, Victory Ascerta!
Okay,i hope mwaka 2022 utakuwa unasema hivyo hivyo!Mahakama ya mafisadi ni geresha tu,mkuu alishasema hafukui makaburi.Endeleeni kupiga miluzi,wao wanajuana kwa vilembaJeshi la mafisadi kamanda wao ni maMvi.
Usumbufu mwingine hauna maana wala tija. Mnataka kutoa lawama kwa serikali kwamba ndugu yenu ametekwa au kupotezwa wakati waajiri wake wanajua alipoBen Saanane kajiteka...ameonekana mitaa ya makondeko analewa kwa kificho.