Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

Narudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja. Kama mwelekeo wetu ndio huu basi tutasonga mbele. Ila kama na wewe umetumwa na Mbowe kuja kuzima mjadala huu basi utakuwa umekosea sana
 
Narudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,
Mkuu wewe una hoja ya msingi, hawa BAVICHA wanataka kututoa kwenye kauli mbiu ya kitaifa ya Hapakazitu. Huyu Ben ni kama Chadema wanamtumia kama agenda ya kutaka ki
umkwamisha rais.
 
Hili swala sio la kulijadili maana mbowe nadhani yupo upande wa pili hawezi kuwa kimya kiasi hiki,,,, hata gazeti lake lisiripoti chochote
 
Dangote ameshusha malori 600 kwa hesabu za haraka haraka dereva na utingo itakuwa ni ajira ya watu 1200 jadilini wanapatikanaje hao ndiyo hoja ya msingi hiyo
 
Usalama wa raia katika hii nchi unachukuliwa kimzaa mzaa sana ...Na unajiuliza mtu kama Ben ambaye walau anajulikana katika jamii yetu kutowekwa kwake kunapuuzwa hivyo je ikitokea kalagha bao tu ametoweka kuna mtu atamjali kweli...Nadhani tuache siasa kwenye masuala yanayogusa uhai wa watu...
 
Hili swala sio la kulijadili maana mbowe nadhani yupo upande wa pili hawezi kuwa kimya kiasi hiki,,,, hata gazeti lake lisiripoti chochote
Basi atakaporudi hapa nchi kutoka huko anakokula bata atakuja na matamko lukuki na ya hisia ile mbaya, akitoka hapo BAVICHA wamelainika kumbe funika kombe mwana haramu apite safari hii nitawadharau BAVICHA moja kwa moja
 
I am smelling a rat!
Si bure...viongozi wa juu wa chadema wanapaswa kuhojiwa hapa...nasikia harufu ya uozo hapa
 
Naona wafuata upepo wanakubali kuvurugwa Na mtu ambaye yupo kazini!
 
Narudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,

Nchi inaenda mbele Raisi wetu yuko makini kashikilia usukani!
 
Narudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,
Mi nisema sema sana kuwa kuna watu kibao hupotea kama huyo Ben,na watu wanafanya mambo yao kama kawaida ila kupotea kwa Ben imekuwa jambo kubwa kuliko matatizo tuliyonayo utasema huyo Ben sijui ni nani katika nchi hii.
 
Ben ni Msaidizi wa Mwenyekiti wa chadema Taifa. Kupotea kwake lazima kuzue mjadala mitandaoni. Ni jambo la kawaida
 
Ingekuwa ni jambo la kawaida basi lisingekuzwa kiasi hiki cha kutaka nchi nzima ijadili kupotea kwa mtu mmoja tu,ila katika aina za siasa zetu hapa Tz ni jambo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom