Pre GE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapige kote kote,kushiriki Uchaguzi+ Maandamano ya kudai KATIBA BORA & TUME HURU YA UCHAGUZI
 
Duh

Uchaguzi kwanza Katiba mpya baadae

Wanasiasa ni Watu hatari sana 🐼😂
Mmh! Mbowe atakuwa anapozwa na hawa mbogamboga si bure. Anakubalije kushiriki uchaguzi kwa tume hii?

Haoni kuwa wagombea ubunge kupitia upinzani hupoteze rasilimali fedha na muda kupiga kampeni, wananchi wanawachagua lkn kutangazwa wanategemea hisani ya Samia na watu wake??
 
..hoja ya Katiba Mpya na Tume Huru haijapatiwa majibu.

..tujiulize kwanini serikali ya Samia na Ccm imegoma kuwapatia Watanzania tume huru na katiba mpya?
Hivi mkuu unaamini hili shinikizo la maandamano yaliyofanyika mikoa isiyozidi mitano lingetosha kutupatia katiba mpya?
 
Hivi mkuu unaamini hili shinikizo la maandamano yaliyofanyika mikoa isiyozidi mitano lingetosha kutupatia katiba mpya?

..sioni sababu ya kuwa na mifarakano au mashinikizo.

..Nchi inahitaji Katiba Mpya na Tume Huru ili tuweze kujiendesha kistaarabu.
 
..sioni sababu ya kuwa na mifarakano au mashinikizo.

..Nchi inahitaji Katiba Mpya na Tume Huru ili tuweze kujiendesha kistaarabu.
Sawa, tuendelee kusubiri. Siku moja watatupatia hiyo katiba na tume huru.
 
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa

Amewataka kwenda kusuka chama kwa nguvu ili waizike CCM kwenye chaguzi zijazo.
 
Safi CDM!
 
Hii imekaa utamuh!
Swala la katiba mpya like palepale lilishapigiwa kelele pamoja na Tume huru!.
Ni jambo lisilopingika.

Ni vyema sawia na muda uliobaki ni muhimu Chama kikajengeka kwa kupata viongozi wa chini kwa utayari wa kwenda 2025.
Mnaobeza ni wale manyumbu wa Buku 7! Endeleeni kupopoma!.
 
Umesahahau kuwa cdm ndi wanapopoma kupitia wasemaji wawili maarufu
 
Usanii wa kisiasa
Mjinga tu ndio atapiga kura
 
Mbowe kaagiza, hakuna cha kamati kuu wala nini. Angesema kamati kuu inaagiza.
Nyumbu hovyo kabisa.
Tuliza mshono weyee, ulifuatilia mkutano wa chadema na waandishi wa habari kule mtwara??? Usifanye kila mtu akuone wee mbwege,
 
Siasa ni mapambano na mapambano hutakiwi kukata tamaa CDM hawapaswi kususa uchaguzi kwani wakisusa uchaguzi watawapa mserereko CCM na wanasesere wake kujinafasi
 
Your browser is not able to display this video.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu 2025 utakuwa wa kufa na kupona kwa kuwa wataweka wagombe kila nafasi itakayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Mbowe ameyasema hayo leo mach 8,2024 Jijini Dodoma kwenye Baraza la wanawake CHADEMA katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani

Mbowe amesema kuwa kwa kufanya hivyo hakuna mgombea yeyote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye atapita bila kupigwa kama ambavyo imekuwa katika miaka iliyopita

Mbowe, alisema katika uchaguzi huo CHADEMA wamepanga kuweka mgombea kila nafasi itakayo tangazwa na NEC, katika ngazi zote kuanzia kitongoji hadi taifa.

Aidha Mbowe amemwagiza katibu mkuu wa Chama hicho pamoja na mfumo mzima wa chama kuhakikisha kuwa kila eneo anapatikana kipngozi bora na siyo bora kiongozi.
 
Kinana, Jokate na Makamba wamesema utakuwa Huru na Haki kwa kuwa wanajiamini

Je Tume ya Uchaguzi uko huru?
 
Kumekucha kumekuchwa.

Ni muda wa Kuyamwaga maneno Yoooote alafu Wananchi wanawabwaga kama vile hawawajui kabisa.

Hakuna kipindi kitamu kuliko vyote kama cha Kampeni za Uchaguzi
 
Sawa kabisa mkuu na la msingi zaidi kuangalia kwa makini sana Ile figisu za Hawa upande wa pili za kufunga ofisi zile masaa za mwisho za kurejesha fomu.

Hakikisheni marejesho ya Fomu yanafanyika mapema mno na hata wakitoa siku chache za kurejesha mjue ndio maujanja yanaanzia hapo!
 
Habari ndio hiyo , Liwalo na Liwe , watu kama Nape , Majaliwa , January , Riziwani wajiandae kuteuliwa viti maalum , hawatashinda , mambo ya kuteka Wagombea wa Chadema hakuna tena .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…