Pre GE2025 Freeman Mbowe: Ni kweli tutanyukana, na tukimaliza kunyukana tukutane kwenye box

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya hapo watapeana mikono.

Mbowe ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa baraza hilo.

Soma, Pia:
-
Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu
- Freeman Mbowe: Tutanyukana lakini hatutakigawa Chama, Hiki si Chama cha Mbowe, sio cha Lissu wala Mnyika, ni cha Watanzania wengi
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya hapo watapeana mikono.

Mbowe ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa baraza hilo.
View attachment 3200854
Bapa linaongea hapo
 
Tupo hapa BAVICHA DAIMA

Chadema Akomavu wa kisiasa merci mingi Kamanda

Lumumba huko kwenu vipi
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya hapo watapeana mikono.
Bila shaka hiyo niliyobold ilitakiwa pia iwepo kwenye title
 
Back
Top Bottom