SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hela italiwa lakini kura hapati kwani kila mwenye akili timamu ameshajua kuwa kumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kigango cha CCM.hao wajumbe wakibugia hizo ni kweli watakuwa na akili kama za nyumbu totally, chama kitakuwa hakina hoja watanaswa mtegoni