SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jan 13, 2025 #21 LOTH HEMA said: hao wajumbe wakibugia hizo ni kweli watakuwa na akili kama za nyumbu totally, chama kitakuwa hakina hoja watanaswa mtegoni Click to expand... Hela italiwa lakini kura hapati kwani kila mwenye akili timamu ameshajua kuwa kumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kigango cha CCM.
LOTH HEMA said: hao wajumbe wakibugia hizo ni kweli watakuwa na akili kama za nyumbu totally, chama kitakuwa hakina hoja watanaswa mtegoni Click to expand... Hela italiwa lakini kura hapati kwani kila mwenye akili timamu ameshajua kuwa kumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kigango cha CCM.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 13, 2025 #22 SAGAI GALGANO said: Hela italiwa lakini kura hapati kwani kila mwenye akili timamu ameshajua kuwa kumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kigango cha CCM. Click to expand... wananchi watakisusa chadema na kuona ni tawi la ccm
SAGAI GALGANO said: Hela italiwa lakini kura hapati kwani kila mwenye akili timamu ameshajua kuwa kumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kigango cha CCM. Click to expand... wananchi watakisusa chadema na kuona ni tawi la ccm
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 13, 2025 #23 G4N said: Ni kweli. Kila anachoongea kinatia jazba na msongo wa mawazo ndani ya wapenda demokrasia Click to expand... Apumzike
G4N said: Ni kweli. Kila anachoongea kinatia jazba na msongo wa mawazo ndani ya wapenda demokrasia Click to expand... Apumzike
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 13, 2025 #24 Lissu atakimbia akikuta kura hazitoshi.
DCI Comrade One JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 557 Reaction score 718 Jan 13, 2025 #25 Earthmover said: Tupo hapa BAVICHA DAIMA Chadema Akomavu wa kisiasa merci mingi Kamanda Lumumba huko kwenu vipi Click to expand... Posho mmelipwa?
Earthmover said: Tupo hapa BAVICHA DAIMA Chadema Akomavu wa kisiasa merci mingi Kamanda Lumumba huko kwenu vipi Click to expand... Posho mmelipwa?
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Jan 13, 2025 #26 johnthebaptist said: Alipe posho za Bavicha wa mitaroniš¼ Click to expand... Halafu aambiwe kuwa anawahonga? Amandla...
johnthebaptist said: Alipe posho za Bavicha wa mitaroniš¼ Click to expand... Halafu aambiwe kuwa anawahonga? Amandla...