sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Watanzania wote tunaamimi wewe ni mtu sahihi kupeperusha bendera ya Chadema kama mgombea urais 2025.
Wakati ni sasa tangaza nia mapema na sisi tunaotakia mema taifa hili tutakuunga mkono.
Umeonesha ukomavu mkubwa wa kiuongozi na namna unavyoiishi demokrasia kwa vitendo.
Chadema inaenda na Freeman Mbowe 2025.
Haya ni maamuzi ya wana Chadema.
Tukutane kwenye box la kura.