sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Karibu tumuunge mkono mgombea wa Chadema, Mh Freeman.
Yaani we jamaa kwa namna fulani una kimuhemuhe sana. Hivi huwa unajitafakari kabla ya kufanya jamboKaribu tumuunge mkono mgombea wa Chadema, Mh Freeman.
Shida nini mkuu, hii ni demokrasiaYaani we jamaa kwa namna fulani una kimuhemuhe sana. Hivi huwa unajitafakari kabla ya kufanya jambo
Chama kina muhitaji na kimeshampa ombi rasmi asiyemtaka kura zitaamua.Acha uchawa - kakutuma??
Tunaenda na Lissu tena.Shida nini mkuu, hii ni demokrasia
Yupo pale wasafi media.....unawajua TABIAYaani we jamaa kwa namna fulani una kimuhemuhe sana. Hivi huwa unajitafakari kabla ya kufanya jambo
Mtego kwa Mbowe huoChama kina muhitaji na kimeshampa ombi rasmi asiyemtaka kura zitaamua.
Wachaga walikulia mke wako,mbona una chuki nao sana?Mchagga? πΌπ
Kura zitaamua mkuu usiwazeTunaenda na Lissu tena.
Lissu amfanyii maamuzi Mbowe Lissu is nobody kwa MboweMtego kwa Mbowe huo
Lisu baada ya kuona hela hamna kwenye chama kaona amrudishe Mbowe ili mbowe alete pesa za uchaguzi
Anachorudisha ni pesa .Hicho cheo Lisu ndio alikitaka kugombea Na hasira zake zote kwa Mbowe ilikuwa sababu ya Mbowe kutotaka Lisu agombee uraisi
Lisu sasa katema bungo ukata wa pesa ameona ugombea uraisi maji marefu kaamua kunywea kwenda kugombea ubunge tu kwao
Lisu Kashinda uenyekiti kashindwa ugombea uraisi kakubali kunyoosha mikono juu kwa Mbowe
Msingi wa ugomvi wao ulikuwa ugombea uraisi sio uenyekiti wa Chadema
Kwa hiyo twaweza sema vita ya Lisu na Mbowe kwenye ugombea uraisi Lisu kashindwa kwa knock out na Mbowe
Uenyekiti Chadema mmemtoa Kwa mbinde ndio tumpe Uamiri Jeshi mkuu? πΌWachaga walikulia mke wako,mbona una chuki nao sana?
Usichukie watu kwa makabila yao,ridhiki anatoa Mungu,ingekua unatoa wewe ungeua wachaga wote hakiyanani π
Ila huo uwezo ndio huna
πππYaani we jamaa kwa namna fulani una kimuhemuhe sana. Hivi huwa unajitafakari kabla ya kufanya jambo