Freeman Mbowe ni mgombea urais sahihi kwa tiketi ya CHADEMA 2025. Watanzania tumuunge mkono

Tumia ile I'd yako iliyozoeleka ya uçhawa kwa mwenyekiti.
 
Wewe sio mwanachadema ..tupishe hebu
 
Kura zitaamua mkuu usiwaze
Hadi sasa upepo wa kura hauvumi upande wa Lisu tena

Mfano hata leo uchaguzi wa mwenyekiti ungerudiwa Mbowe angemshinda Lisu sana

Wamegundua Lisu hana kitu laghai tu pesa hana aliwalaghai kuwa Yeye kama makamu mwenyekiti anajua Chadema ina prsa nyingi sana

Alipochaguliwa tu wajumbe wanadai posho anawambia Chadema hakina hela

Wakisimama na Mbowe kugombea uraisi ndani ya Chadema Lisu anaenda kubwagwa vibaya mno
 
Angalia post zake zingne anawanyali balaa chadema..
Yaani sijui huyu jamaa uhalisia wake uko Vipi? Diamond akifanya show Marekani anamsifia Alikiba akifanya show Morogoro anampenda 🤣🤣🤣

Sijui kama ni Mwanaume kamili? Maana ukiwa Mwanaume kamili lazima uwe na msimamo thabiti.
 
Labda agombee ubunge!
 
No thank you. He is not a man of the hours!!! This is Lissu's seasons.
 
Ni mchagga mwenzio sio?
 
Umekaaa na bibi yako huko mkakubaliana hili
 
Hatuwezi kuchagua mhuni anayetaka kusalia madarakani ,tumeyaona kwenye chama aliyoyafanya kwanza hatoshi kuwa raisi wa jmt
 
Nonsense stuff.
 
Sawa mkuu
 
Uenyekiti Chadema mmemtoa Kwa mbinde ndio tumpe Uamiri Jeshi mkuu? 🐼

Soma history dogo Mchagga ukimpa Uongozi kumuondoa ni hadi Serikali iingilie Kati kama Kwa James Mbatia

Lyatonga 😄
Umpe wewe kama nani?

Msipende kua mnajipa umuhimu ambao hamna

Jiongelee mwenyewe acha kujumuisha watu
Punguza chuki kidogo

Wote ni Watanzania,yeyote na kabila lolote linaweza ongoza nchi
 
Hatuwezi kuchagua mhuni anayetaka kusalia madarakani ,tumeyaona kwenye chama aliyoyafanya kwanza hatoshi kuwa raisi wa jmt
Sanduku la kura litaamua, mna wasiwasi wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…