LGE2024 Freeman Mbowe: Pambaneni kuhakikisha hakuna kura inapotea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania (CHADEMA), Freeman Mbowe amewataka watu chama hicho walinde kura na kuhakikisha hakuna kura inapotea wa inaibiwa katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27.
 
Hali mtaani ngumu mkuu,kama zinamwagwa kanisani watashindwa mtaani.
 
Karudi kwenye levo zake za parochial politics(kwa chadema ambao elimu yao ni kidumu na mfagio, maana yake ni siasa za ngazi ya parokia) mama SSH kabaki katika siasa za kitaifa
 
Ila kuna uhuni mwingi sana unaoendelea kitaa.

Mnachokipanda mavuno yake mtakuja kujutia.
 
Karudi kwenye levo zake za parochial politics(kwa chadema ambao elimu yao ni kidumu na mfagio, maana yake ni siasa za ngazi ya parokia) mama SSH kabaki katika siasa za kitaifa
Hivi huyu mzee yeye anaona Tanzania ni machame tu?
 
Back
Top Bottom