Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Tofauti ya CCM na Chadema ni ndogo sana, wanafanana katika mengi, bora tubaki na zimwi tulijualo, halituli tukakwisha.
Screenshot_20240725-125250.jpg
 
Tofauti ya CCM na Chadema ni ndogo sana, wanafanana katika mengi, bora tubaki na zimwi tulijualo, halituli tukakwisha.
View attachment 3051518
Hivi Mbowe aliwakosea nini ccm , nataka majibu , Wenda uyu mzee kila siku kichwa kinamuuma aisee , daily Mbowe, Msigwa agenda yake ni Mbowe ,

Mbowe ana shida na unaambiwa pesa aliyo mwachia mzazi wake bado anakula hizo zake hajagusa tafuteni pesa
 
Sasa nani amekuambia James hana kipaji,kusoma shule za serikali sio sifa ujue.
James atashinda uchaguzi ukifanyikia mtandaoni. Hakuna mpigakura wa Hai anayemjua. Mbowe kabla hata ya kuwa mbunge alikuwa anakubalika sana kule Machame. Freeman ni jina kubwa kwa wapiga kura toka miaka ya 90 tofauti na huyo James aliyekurupuka. Mbowe atafute mrithi mwingine.
 
James hawezi shinda Hai. Huyu dogo hajulikani kabisa huko Hai. Hata kule kwao Machame kaanza kujipitisha juzijuzi. Huyo ni mtoto wa kishua ambaye kakaa sana Ulaya na hana ukaribu wowote na wapiga kura.
Kakaa sana Ulaya ya wapi hiyo ?au machame ndio ulaya yenyewe?
 
Vipi kuhusu Mwinyi, Salma, Salim Turky, Godfrey Mgimwa, Fred Lowassa?
Dada yake Tundu Lissu,Binamu yake mzee Mbowe (Lema),Shemeji yake mzee Mbowe(John Mrema),mjomba wake mzee Mbowe(Devota minja),na bila kusahau Mdee ni mjomba wake Lema (mama yake mdee ni Lema kama sikosei ndio wa kwanza toka familia ya mzee jonathan Lema.
 
James atashinda uchaguzi ukifanyikia mtandaoni. Hakuna mpigakura wa Hai anayemjua. Mbowe kabla hata ya kuwa mbunge alikuwa anakubalika sana kule Machame. Freeman ni jina kubwa kwa wapiga kura toka miaka ya 90 tofauti na huyo James aliyekurupuka. Mbowe atafute mrithi mwingine.
Hadidu za rejea za hiki chama ni lazima kizunguke kwenye ukoo na ndugu wa karibu tu
 
Hivi Mbowe aliwakosea nini ccm , nataka majibu , Wenda uyu mzee kila siku kichwa kinamuuma aisee , daily Mbowe, Msigwa agenda yake ni Mbowe ,

Mbowe ana shida na unaambiwa pesa aliyo mwachia mzazi wake bado anakula hizo zake hajagusa tafuteni pesa
Angekuwa na Pesa angeharuhusu mwenyekiti atembeze bakuli kuomba kununuliwa gari?
 
Back
Top Bottom