Huwa mtu ukiwa mjinga huwezi kujijua bali wanaoumia au kutambua ujinga wako ni wanaokuzunguka.
Baada ya uchafuzi mkuu ukisimamiwa na Magufuli kujipa ushindi 2020 .
Viongozi wa upinzani walipewa "tip" ya kiusalama na watu baadhi wema kwenye vyombo vya dola kuwa baada ya jiwe kujipa ushindi ule bandia basi 2021 na kuendelea itakuwa kivumbi kwao.
Wa kwanza kuondoka ni Lissu , alipitia ubalozi wa Ujerumani na kutimkia Ubelgiji.
Wa pili alikuwa ni Lema alipitia Nairobi na kutimkia Canada.
Wa tatu ni Mbowe alipitia Nairobi na kutimkia Dubai.
Wakati huyo Magufuli ambaye aliwaaminisha wafuasi wake yeye ni kila kitu hadi hapo unavyodanganya Mbowe aliegemea kwake , wakati Corona imeshika kasi inafyeka viongozi kama kina Seif Shariff Hamad , John Kijazi kabla ya kumfyeka hata Magufuli mwenyewe hao viongozi tajwa hapo walikuwa uhamishoni kujinusuru maisha yao.
Hao wote walirudi baada ya Magufuli kufariki.
Dawa ya mjinga ni kumuelimisha usimuache na ujinga wake.
View: https://x.com/freemanmbowetz/status/1362021399980875781?s=19