Jiteue wewe uende.CDM waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Wa Nkasi amesema atakwenda Bungeni kuapishwa ili awatumikie wananchi waliomchagua Sasa hapo Mbowe hataki ....dada nenda Bungeni kawawakilishe waliokuchagua
Kwani kipindi kina mnyika wanaenda bungeni watu hawakufa mfano Yale maandamano ya Arusha. Kwangu mimi acheni ubinafsi, hafu Mimi siko chama chochote ni raia wa kawaida nisiye na mihemkoa.Jiteue wewe uende.
Watu wamechomwa moto, wamebakwa, wameuliwa, wamepigwa mabomu, wamepigwa risasi na wengine wako magerezani mpaka sasa kwa maelfu halafu unataka wakashirikiane na hao wauaji ?
Kama unaona ni sahihi jiteue wewe uende.
Si mlitaka bunge la chama kimoja hii kulilia chadema ya nini sasa ?
Msituchoshe.
Kwani yale mauaji yalifanyika kwenye uchaguzi?Kwani kipindi kina mnyika wanaenda bungeni watu hawakufa mfano Yale maandamano ya Arusha. Kwangu mimi acheni ubinafsi, hafu Mimi siko chama chochote ni raia wa kawaida nisiye na mihemkoa.
Wananchi wake maendeleo mtawapelekea?Wa Nkasi amesema atakwenda Bungeni kuapishwa ili awatumikie wananchi waliomchagua Sasa hapo Mbowe hataki ....dada nenda Bungeni kawawakilishe waliokuchagua
Nakumbuka Sana uchaguzi wa marudio wa madiwani pale uwanja wa Soweto lilipolipuka bomu na kuuwa watu kadhaa na hata yale maandamano kule Arusha pia watu walikufa na wao wakina Mbowe na Lema walikwenda kula kiapo Cha ubunge Dodoma Sasa kwanini wanataka Kenani asiende Dodoma kuapa Bungeni, wamuache dada wa watu naye akafanye kazi aliyotumwa na wananchi wake.Kwani kipindi kina mnyika wanaenda bungeni watu hawakufa mfano Yale maandamano ya Arusha. Kwangu mimi acheni ubinafsi, hafu Mimi siko chama chochote ni raia wa kawaida nisiye na mihemkoa
Hakuna wizi wa kura Chadema hamkwenda kupiga kura mlibaki mqjumbani na ndiyo 14 million Ssasa mnalalamika nini.Huyo wa Nkasi aende, maana inaonekana amejali zaidi ushindi wake kuliko hujuma za wazi zilizofanywa. Cdm kwenda kushiriki hilo bunge ni kubariki umwagaji damu uliofanywa na vyombo vya dola, wizi na ukiukwaji wa haki za wananchi. Cdm isijikite kwenye faida za muda mfupi, bali ijali mustakabali wa demokrasia ya nchi hii. Bunge lenyewe halina jipya bali ni rubber stamp ya serikali.
Hakuna wizi wa kura Chadema hamkwenda kupiga kura mlibaki mqjumbani na ndiyo 14 million Sasa mnalalamika nini