Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

Kwa sababu 4Rs za Mama Samia zipo hai na Mh Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mfariji Mkuu atachukua hatua za haraka ili Watanzania wawe na amani maana kwa sasa ni hofu tupu kila mahali Nchini Tanzania.
 
Samia Must Go
 
Inapendeza kuisoma hiyo ultimatum waliyoipa serikali, watekaji lazima wasukumwe kwenye kona ngumu wachague kuwatoa walipowaficha mareka, au maandamano nchi nzima yasiyo na kikomo.

Ukiogopa kuandamana, kaa usubiri kutekwa, uteswe, kisha wakakutupe watapopenda wenyewe.

Kama wameshawaua wataonesha makaburi yao yalipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…