Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

Tarehe 23 September 2024 siku muhimu kwa taifa letu.

Jambo la Mwalimu Nyerere aliposema imetosha kutawaliwa na watawala wanaotufanya mateka kwa kila namna , na hivyo wanazuoni, wanafunzi na jumuiya pana ya UDSM kukubaliana na falsafa hiyo kwa kutundika bango hili :


Katika ukumbi wa jumba la utawala Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM kuna bango lenye ujumbe wa Mwalimu Nyerere:


"Tumekandamizwa kwa kiasi kikubwa, Tumenyonywa kwa kiasi kikubwa,
Tumepuuzwa kwa kiasi kikubwa,
Sasa tunataka mapinduzi"
- mwisho wa kunukuu
(Nyerere 1969 akiwaambia wanafunzi wa UDSM)

β€œWe have been oppressed a great deal, we have been exploited a great deal, we have been disregarded a great deal… Now we want a revolution” (Nyerere, 1969)
 
Kwa kiasi fulani mtu huyu atakuwa amewapunguzia ushawishi wake baadhi ya wafuasi wake kutokana na misimamo yake ya legelege dhidi ya uovu wanaotendewa wafuasi wake.
Hichi ni chama cha kisiasa pamoja na yote yanayotokea hawezi kwenda kinyume na sheria za nchi, ila vikundi vya kigadi huwa vinapaga nafasi kwenye wakati kama huu na huwa vinazuka pande zote mbili kama Sudani, janjuwidi kilikuwa kikundi cha kigaidi lakini kinafadhiwa na serikali.
 
Wacha tuone!
 
Mbowe akishapiga story anazuga na kuvua miwani kiaina ili muone yuko makini, baadae anasema nyumbu kunja ngumi kunja ngumi akipiga na peoples mambo yanaisha, hua anajua anavojipelekea mifugo yake hana haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…