Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

Kimenuka
 
Yaani kama mimi sina imani kabisa na Mbowe kwenye haya mapambano. Ni mtu anayejaribu kutaka asifiwe na wapinzani, na wakati huohuo na serekali eti anafanyanya siasa za kistaarabu. Cdm wajue Mbowe anawapoteza.

Ukingalia kwa makini Mbowe ni CCM kindakinda. Chuki zake kubwa ni Magufuli, Wasukuma, Sukama Gang, wanaopigania maslahi ya,wanyonge na ndio anapoipeleka Chadema. Anasukumwa na wanachama wa Chadema kupambana na serikali ya Samia. Mwakubusi anapambana na maslahi haki za taifa, wananchi kwa sasa.
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe (MK) within the ANC because the Government of Minority Whites of South Africa was terrorising us ANC by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Sidhani kama ana tatizo na wasukuma kama kabila. Bali genge la sukuma gang pamoja na Magufuli sawa.
 
 
Mtaungana na Hawa JW siku ya usafi 👇👇

View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1833893018245451992?t=XyYVwRmVBJCV3OMYzwbTPA&s=19
 
Safi Mbowe na CDM yote
 
Suluhi sio lazima iwe kwa virugu.
Nakubaliana na wewe mkuu ila kuna namna inatakiwa uonekane uko serious na jambo lako ,hata wewe kama una jirani amesogeza mpaka wako utaanza tu njoo tuongee kaka bila hata mkwara? Kama matamko yameshatoka sanaa hebu wazia tangu wanashambuliwa watu, kutekwa na kuuawa unafikiri hawakuwahi kukaa kutafuta suluhu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…