Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

Huyo mnafiki kwanza aangalie ya saccos yake kabla hajaongelea ya chama tawala.
 
Mbowe ni mwenyekiti wa maisha kama Museveni?

Eti chama cha demokrasia.

Mama Samia anatisha, akawaminya mbavu kihekima, bila kuwafunga wala kuwakimbiza nchi.
 
Kwa sababu 4Rs za Mama Samia zipo hai na Mh Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mfariji Mkuu atachukua hatua za haraka ili Watanzania wawe na amani maana kwa sasa ni hofu tupu kila mahali Nchini Tanzania.
Yeye ni lini ataacha kuwa mwenyekiti wa milele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…