MhFreeman Mbowe Kuongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa Ndani ya Nchi kwenye ofisi za Makao Makuu Mikocheni
Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Mwamba Kabisa, Freeman Mbowe, Atazungumza na Dunia kupitia kwa Waandishi Wote wa Habari Duniani. Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote Duniani hii hapa Hatutaki kuongeza Chumvi, Tusubiri Habari kamili baada ya Mkutano huo...www.jamiiforums.com