Freeman Mbowe yuko wapi?

Freeman Mbowe yuko wapi?

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati

1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima

2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema

3. Kuna ugomvi mkali kati ya Tundu Lisu na Benson Kigaila

4. Kuna ugomvi mkali kati ya Benson Kigaila na Godbless Lema

5. John Mnyika amekisusa chama
 
CHADEMA na viongozi wake wakuu wanaweza kushika rekodi ya dunia kwa kutajwa na wanaccm kwa zaidi ya miaka 15 kila siku kila sala na pengine kila dakika
 
Back
Top Bottom