Freemansons..............!!!!! !!!!!!!

Freemansons..............!!!!! !!!!!!!

Mwambie tu aachane na habari hizo manake sometimes shortcut zinakuwa ndefu kuliko longcut.Mwambie achape kazi na aanzie chini asiogope kuuza miwa barabarani au matikiti.
 
Mwambie hakuna nji aya haraka ya mafanikio isipokuwa kupiga kazi yoyote halali na asiogope kukumbana na vikwazo ila asikate tamaa
Hizo mambo za harakaharaka mwishowe atamtoa mama yake kafara
 
maisha ni safari ndefu ukizaliwa lazima kuna milima na mabonde mwambie kijana akaze buti ili kufanikwa na sio kutaka kiurahisi.kwani waliofanikiwa hawajaanzia walipo wametoka mbali.
 
Mwambie afanye kazi kwa bidii kwani mafanikio hayaji kirahisi kama anavyozani,
Hebu amshirikishe MUNGU katika mambo yake aangalie kama hatofanikiwa.

Hata walioko kwenye freemason wanafanya kazi kwa bidii,
hebu mwangalie Jay Z na Kanye wanavyojishughulisha huku na kule katika masuala yakutafuta chapaa.

Maisha yana vikwazo vingi ila Mungu pekee ndio kimbilio la walio wengi.
 
Akili hana huyo! Ni uzembe wa kutotaka kufanya kazi wakidhani kuna short-cut, ni udhaifu wa fikra.
 
Mwambie tu aachane na habari hizo manake sometimes shortcut zinakuwa ndefu kuliko longcut.Mwambie achape kazi na aanzie chini asiogope kuuza miwa barabarani au matikiti.

Yani ameniacha na maswali mengi huyu, hasa alivoandika eti yupo tayari kwa chochote watakachotaka....
 
Nipo sehemu kijijini nimefungua kijiwe cha internet ,kuna kijana (anaonekana hayupo vizuri kimaisha) wiki iliopita alikuja kuniulizia mambo ya Freemasons kwenye internet nikamwambia anaweza akagoogle kupata taarifa zao .... sasa leo karudi amepata hela ya internet ,akanikabidhi hela na barua ndefu kawaandikia Freemasons anataka kujiunga wamsaidie maisha ni magumu na yupo tayari kwa chochote watakachotaka....hivi kama mtu yupo tayari kufanya chochote ili usaidiwe kuna usalama kweli!!!!
Nimeshindwa hata nimwambie nini huyu kijana.......!!!!!!!!!!!

Huyo kachanganyikiwa tu, mrudishie hela zake kakae nae jioni mahali.....mueleze afuge hata nguruwe asijali sana dini yake..si alikuwa tayari hata kumtumikia hata shetani!!
Kwa hela hiyo anunue kitimoto jike namba 14 mwenye uwezo wa kuzaa watoto hadi 14 kwa mpigo..awe mdogo wa miezi 2 huuzwa kuanzia 50 au 60 elfu hivi, then amtunze kwa bidii zake zote!! akifikisha miezi 4 jumla ampandishe kwa kukodi dume lolote bora...

...baada ya miezi michache tu ataniambia matendo makuu mungu atakayo mtendea!!
 
Mwambie hakuna nji aya haraka ya mafanikio isipokuwa kupiga kazi yoyote halali na asiogope kukumbana na vikwazo ila asikate tamaa
Hizo mambo za harakaharaka mwishowe atamtoa mama yake kafara

Alivo na machungu, kumtoa kafara maza ake sio ishu kwake asee...!!!!!!!!!
 
Yani ameniacha na maswali mengi huyu, hasa alivoandika eti yupo tayari kwa chochote watakachotaka....
Hakika hajui anchokitaka/anachoongea, freemanson is real ila ni demonic services ambazo wanatoa kafara ya ndugu wa karibu kama sadaka....
 
Nipo sehemu kijijini nimefungua kijiwe cha internet ,kuna kijana (anaonekana hayupo vizuri kimaisha) wiki iliopita alikuja kuniulizia mambo ya Freemasons kwenye internet nikamwambia anaweza akagoogle kupata taarifa zao .... sasa leo karudi amepata hela ya internet ,akanikabidhi hela na barua ndefu kawaandikia Freemasons anataka kujiunga wamsaidie maisha ni magumu na yupo tayari kwa chochote watakachotaka....hivi kama mtu yupo tayari kufanya chochote ili usaidiwe kuna usalama kweli!!!!
Nimeshindwa hata nimwambie nini huyu kijana.......!!!!!!!!!!!

Huyu ni hatari sana kwa ustawi wa Jamii! maana hata 071... yake kaiweka rehani!!
 
Alivo na machungu, kumtoa kafara maza ake sio ishu kwake asee...!!!!!!!!!
Evelyn Salt na akishapata huo utajiri na anajua kabisa kuwa alimtoa mama yake kafara atakuwa na raha gani au ndo majuto ya milele
Mwambie aachane na hayo bana achacharike kivingine na azingatia ushauri wa Mzizi wa Mbuyu hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Mwambie afanye kazi kwa bidii kwani mafanikio hayaji kirahisi kama anavyozani,
Hebu amshirikishe MUNGU katika mambo yake aangalie kama hatofanikiwa.

Hata walioko kwenye freemason wanafanya kazi kwa bidii,
hebu mwangalie Jay Z na Kanye wanavyojishughulisha huku na kule katika masuala yakutafuta chapaa.

Maisha yana vikwazo vingi ila Mungu pekee ndio kimbilio la walio wengi.
Dah kaka saudari umetoa bonge la advise kwa kijana.. ila nikicheki hii avatar yako nacheka sana maana navuta picha mzee snopy anavyokamua jani ! dah
 
Huyo kachanganyikiwa tu, mrudishie hela zake kakae nae jioni mahali.....mueleze afuge hata nguruwe asijali sana dini yake..si alikuwa tayari hata kumtumikia hata shetani!!
Kwa hela hiyo anunue kitimoto jike namba 14 mwenye uwezo wa kuzaa watoto hadi 14 kwa mpigo..awe mdogo wa miezi 2 huuzwa kuanzia 50 au 60 elfu hivi, then amtunze kwa bidii zake zote!! akifikisha miezi 4 jumla ampandishe kwa kukodi dume lolote bora...

...baada ya miezi michache tu ataniambia matendo makuu mungu atakayo mtendea!!

Hela na barua yake nimemrudishia na amesikitika kainama kama dakika tano hivi nilivomwambia hawezi kujiunga......
huku ni bush japo sio kivile, hata mtaji wa barafu sidhani kama anaeza kuwa nao, make alinambia anaenda kutafuta hela wiki imepita ndo karudi na buku leo!!!
 
Back
Top Bottom