Freemansons..............!!!!! !!!!!!!

Freemansons..............!!!!! !!!!!!!

Unatoa siri za mteja wa kwako c o!?? Unataka tukuiteje? Bi Chumvi endelea kutukoleza ...... kazi kwako!
 
shida ni kwamba ss watz ni wavivu mno(%kubwa)kufikiri hta kutenda ndo manake tunapenda shortcuts.........mwambie kwa kidhungu...shotcut is always a wrongcut......ajitume hizo shughuli zake za kla cku zinaezamtoa tu....
 
Anisamehe tu bure kwa hili....

Nakushaur mpe elimu ya kutosha kuhusiana na fremason nadhan ajui madhara atakayopata

Kaja tena hapa kaleta namba za simu za(airtel) nimsaidie kupiga teh!
nikamuuliza swali la kizushi, unajua jamaa wanatoa kafara? kajibu ndio..nikamuuliza tena wakisema umtoe maza ako je?
kanijibu "sina tatizo nitamtoa, make hata nisipomtoa atakufa tu" yani nimechoka nimebaki mdomo wazi....
 
shida ni kwamba ss watz ni wavivu mno(%kubwa)kufikiri hta kutenda ndo manake tunapenda shortcuts.........mwambie kwa kidhungu...shotcut is always a wrongcut......ajitume hizo shughuli zake za kla cku zinaezamtoa tu....

Huyu sio uvivu ni tamaa zinamsumbua kanambia ni mkulima, nikamwambia sasa kama unalima si utapata hela....
kasema mvua zinazingua hataki kulima tena yani namuona kama pepo huyu kijana!!!!!!!
 
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake!
 
Mwambie tu aachane na habari hizo manake sometimes shortcut zinakuwa ndefu kuliko longcut.Mwambie achape kazi na aanzie chini asiogope kuuza miwa barabarani au matikiti.
Kazi anataka lakini ajira hakuna ndio maana kaona aombe msaada huko. Kama Alqaida angewapata angejiunga nao pia.
 
Anahtaji elimu ya kutosha juu ya hawa masonic group 2msaidien jaman

Mi kanichosha, anaonekana ni kitu anataka sana na ni ngumu kumshauri aachane nayo....
kama kishawaza kumtoa mama ake kafara nisije komaa akanitoa roho bure mie!!!!!!
 
Usichokijua ni kama usiku wa kiza.
We fear that which we don't understand.
Freemasons wamechafuliwa sana TZ. Anyways sio hata kama they care much about what the illiterate think bout them.
 
Hela na barua yake nimemrudishia na amesikitika kainama kama dakika tano hivi nilivomwambia hawezi kujiunga......
huku ni bush japo sio kivile, hata mtaji wa barafu sidhani kama anaeza kuwa nao, make alinambia anaenda kutafuta hela wiki imepita ndo karudi na buku leo!!!

yaani wiki nzima kaja na buku duh!
yaani mimi ningekuwa wewe ningemwambia wamekubali na ningemsainisha vimkataba ukuda na kupga picha yake na kuiingiza kwenye net(kwa njia yoyote hata fb)mixer maneno ya frmasn hapo lazma anikubali, af namwambia njoo baada ya siku 2 ombi lako linashughulikiwa so plz wait....Akija sasa kijana kazi imeanza rasmi ombi lako limekubaliwa
ila wamesema kalete jogoo mkubwa ndan ya siku 3 uwe umemleta si ulisema upo tayar kwa lolote sasa fanya hivyo usipoleta tu unakufa wewe! Namdanganya namwambia kuwa f.mason hawatoi kafara ya mtu(hata kama wanatoa) mpaka ukiuke masharti yao lkn kwa sasa wanaangalia uaminifu wako. hapo hapo wakuu jamaa atakimbia kuchakarika kutafuta jogoo
siku ya tatu; namwambia safi sana tena leo waliniulizia kuwa kama umefika, sasa kaa na kuku wako nikupige picha niwatumie kuwa umekuwa mtiifu plz wait jamaa wanakuombea
baada ya mda namwambia wamesema kuku wao mrudishe sokon ulipomtoa tena kwa kumuuza au mpeleke kamuuze mjini hata kwa wahindi,migahawan,hotelin popote pale lkn lazima uuze kwa bei
mara mbili ya uliyomnunulia tena zoezi lifanyike ndan ya siku 1 uwe hapa yaani hapa na hizo fedha laa sivyo utanza kuota manyoya ya jogoo (hapo namlalamikia ajabu kuwa kaniingiza kwenye matatatizo)
akiludi na hela namwambia jamaa wanakuona wamenipigia smu usku kuwa umeshauza na wamesema walikuwa wanakuona ila wao ndo wamekupa nyota ya kuuza,
sasa namuuliza unajua ulipomtoa huyo kuku kama jb Ndyo! Sasa nenda na hiyo hela kanunue jogoo wa2 na upitilize hukohuko ukawauze
uj hapa na hela mara 2 ya uliyonunulia kuku kila m1 uje hapa kusaini tu! Zoez lifanyke wthn 2days!, na namwambia hamna kuila hiyo hela kama ni msos kula ulichokuwa unakula hakuna kula hat 10 mpaka utakapo ruhusiwa!!
Akirudi namwambia nenda mara ya mwisho kanunue kuku wa4 na ukawauze atakayekataa kununua kuku bei kubwa usimbembeleze kwa7babu wewe ushakuwa tajir mkubwa mf. Si unawaona wasanii hafanyi shoo hela ndogo, si unaona mali za bakhresa hazna punguzo sokon!
Akirudi namwambia sana nenda kanunue kuku nane ukiuza waweza kula na chakula cha mchana hukohuko mjini na namwambia sasa waweza kwenda kwenye hotel na migahawa kuchikua order af utakuwa unakuja kuripot tu! Nampa mifano ya uongo si unamuona fulan ni f.mason lkn anajshuhulisha.
Nadhan mpaka hapo ntakuwa nimemsaidia sana, natumia njia hiyo kutokana na akili yake fnyu ilivyolenga ntatumia ujinga kumfundisha(nadhan hata kule rehab wanapowaachisha watu kuvuta dawa za kulevya wanayo madawa kwaajil kuwapa vctms kidogokidogo ili kuwafanya wasiwe arosto zaidi) af akishafanikiwa namweleza hakuna mafanikio mazuri na yanayoduma kwa kutoa kafara. Nakuw nakula viela vyake vya soda tu!!!
Na Mungu amsaidie sana!!
Lakn kama ningekuwa SALT!!!

shortcut alwayz ..........?
 
Godyp hujui tu yani, hadi nimemuogopa tena alivosema atamtoa mama ake ndo basi tena....
nimekimbia fasta kumleta counsellor anisaidie kanipa fidback kuwa atleat na ataendelea kusema nae.....
 
Last edited by a moderator:
dah! Inacktsha sana! Hayo ndo matokeo ya uvivu,anatakiwa kuelimishwa juu ya hilo
 
Back
Top Bottom