Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Nadhani jamii inajibu kufuatana na single gani inabamba mtaani, hivyo nadhani diagnosis ya jamii inategemea sana jamii wakati huo inakuwa based kwenye issue gani ambayo ndio talk of the day. Wakati Kanumba nakufa watu walikuwa wametishwa sana na wanaongelea issues za Free masons na wakamuunganisha Kanumba na suala hilo kutokana na kuwa alikuwa na pesa, alikuwa na uwezo wa kusafiri nchi nyingi (tofauti na kipato cha kazi yake ya usanii) na wakati Mnagwea anafariki issue iliyokuwa inaongelewa ilikuwa ni issue ya Madawa ya kulevya, na Mangwea naye aliunganishwa na tatizo hilo kwa sababu naye alikuwa na pesa fulani, anasafiri, na utata wa kifo chake. Lakini kuna Jambo moja linafanana kwa wote, wote wamekufa Ghafla vifo vvyenye utata. Kwa leo mimi ningesema hawa wana the same cause of Death, na Inawezekana inauhusianao na kutaka kutengeneza pesa.# Ni song lipi kati ya hizo lilibamba/linabamba zaidi tz??