Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Hawa mastaa wawili kila mmoja alivyoondoka duniani ametuacha na 'Song' linalobamba vichwa vya watanzania wengi;-
Kanumba alituacha na mijadala ya Freemason ambayo kila kona ya Tz ilikuwa imekamata akili za watu wa rika mbalimbali
Ngwea katuacha na mijadala/matukio ya Madawa ya Kulevya 'Sembe' ambayo hadi sahivi inakamata vichwa vya habari vya magazeti,kuzungumziwa kwenye medias na socio networks
# Ni song lipi kati ya hizo lilibamba/linabamba zaidi tz??