kamituga
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 1,195
- 1,933
Salaam kwenu wakuu,
Kama mada ilivyo naomba kuuliza wale jamaa waliokua wanamiliki mikwanja na ndinga kali town mpaka wananzego wakaaminishwa mafanikio mpaka uwe freemason wako wapi wakati huu?
Mbona uvumi wa hiyo jamii ya siri umepoa kwanini? Nao vyuma vimekaza?
Au ndio walukua wazee wa makontena bandarini halafu wanazuga ni mafreemason.
Wako wapi? Pesa wamepeleka wapi?
Pia soma: Illuminati and Freemasons