Freemasonry na Freemasons katika mlengo wa ulipaji kisasi kwa Mungu

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
Umasoni ni chama cha siri kabisa cha Kiyahudi, kimeanzishwa huko enzi za Kiroma sehemu za Aurshalim (Jerusalem) wakati wa ufalme wa Herodus Aghriba baina ya mwaka 37-44 M, aliyekuwa mjukuu wa Herodus Mkuu, muuaji wa watoto wa Bethlehem kwa khofu ya kutokea Yesu, ambaye kwa mujibu wa imani zake, aliazimia kuondosha haraka iwezekanavyo utawala wote wa Herodus.

Umasoni ulitambulika kwa utata wake na mtindo wake ulio na amri madhubuti. Malengo yake ni kuhakikisha mamlaka yanabaki kwa Mayahudi duniani kote. Unahubiri upagani, utenganifu wa jamii na upotofu. Jumuiya hii inachagua wajumbe wake miongoni mwa watu maarufu kwenye nyanja ambazo zina nafasi kisiasa, kiuchumi au kijamii. Kitabu cha Simplified Encyclopedia kimeandika na kuchapisha kutoka WAMY (Baraza La Vijana Waislamu Duniani - World Assembly of Muslim Youth– Saudi Arabia) kinafafanua kwamba muasisi wa jumuiya hii ni Herdous Aghriba (44 M) mfalme wa Kiroma kwa msaada wa wasaidizi wa Kiyahudi.

Hivyo, mwanzo wake ulitokana na ujanja, hila na mageuzi. Inachagua zana za utambulisho, majina na alama ili kueneza khofu na kuwafanya watu kuamini katika habari zisizo sahihi. Rabai Laquiz amesema: “Umasoni ni ya Kiyahudi kwa mujibu wa historia yake, uongozi wake, mafundisho yake, zana zake za siri na kazi zake za ubunifu wa hali ya juu... Ni ya Kiyahudi kuanzia utosini hadi miguuni. Ilikuwa ikiitwa: ‘Uwezo wa siri wenye lengo la kuwaadhibu Wakristo, kuwauwa viongozi, kuwakata vichwa, kuwapiga pande na kuizuia dini yao kuenea.’ Sasa, imechukua jina hili (Umasoni – Freemasonry) kwa kipindi cha karne kadhaa”.

Neno “mason” lina maana ya yule mwenye kujenga nyumba. Hivyo “Free masons” lina maana ya Wamasoni walio huru. Hii ndio ilikuwa haswa alama yao wakati walipokuwa wakifanya kazi zao (za kujenga nyumba). Lakini sasa jina hilo lipo mbali na tafsiri hii. Enzi hizo ndio zilikuwa mwanzo wa umoja huu. Lakini vitu vilianzia tokea 177 M pale Adam Webshawit, Mkristo aliyeingia kwenye upagani, alipovutiwa na umoja huu ambao alidhani utamsaidia kuimiliki dunia yote.

Mara ya mwisho kutimu kazi hii ilikuwa ni mwaka 1776 M, na bodi ya mwanzo kuanzishwa ndani ya kipindi hicho (Bodi ya Torani) ilipewa jina baada ya huyo Shetani wao waliokuwa wakimwabudia. Ukweli ni kwamba, Webshawit alikuwa ni mtu wa mwanzo aliyeanzisha mipango ile ile ya Umasoni.

Azma ya mwanzo ya Umasoni ni kuupiga vita “Ukristo”. Baadaye, azma zao ziliendelea kupiga vita dini zote, kuirudisha tena Israel na kuitoa Palestine.

Malengo muhimu na imani zao kuu za wajumbe wa jumuiya hii ni:

1. Wanaitakidi kwamba imani kwa Allaah, Mitume na Vitabu kama ni upuuzi na hawaamini chochote katika ghayb.

2. Wanashiriki kwa hali zote kubadili serikali ili kuweka serikali ambayo inawakubali wao pamoja na mawazo yao.

3. Wanahubiri ukombozi wa ngono na kumuona mwanamke kama ni aina fulani ya umiliki.

4. Wanafanya bidii kuchana chana mataifa – isipokuwa taifa la Kiyahudi na kuanzisha migongano ya kudumu baina yao.

5. Wanauza na kutoa silaha kwa pande zote mbili ili kushinikiza mapigano.

6. Wanafanya kila jitihada ya kuendeleza ukabila na uadui.

7. Inaua na kuharibu kanuni za maadili kwa kutumia hongo kupitia ngono na pesa ili kuwavutia wenye kutoa maamuzi.

8. Wanafanya uchunguzi wa kudumu (na kuzifanyia kazi) ili kuwazuia Waislamu na kuwapunguza kupitia aina zote (birth control) na kongamano zinazoshajiisha mambo hayo kama vile: “Kongomano La Wazawa”.

Mwaka 1717 M, Umasoni ulijitokeza kwa jina jengine jipya: Jamii ya Kimasoni (Freemasonic Society) au Wamasoni (Freemasons), wakitekeleza malengo yake ya kupiga vita dini zote. Pia walichukua nembo mpya: Pembe tatu baadaye ikagaiwa (pande mbili), baadaye walianzisha kituo chao cha mwanzo cha Kimasoni nchini Uingereza, wakiwa na kauli mbiu mpya: uhuru, udugu na usawa. Baada ya hapo, walitoa maamuzi ya kuweka (wazi) maazimio yao ya kweli kama ifuatavyo:

1) Kuuendeleza Uyahudi.

2) Kupiga vita dini zote, haswa Ukatoliki.

3) Kueneza ukafiri na ukombozi.

Baadaye, vituo vipya na vingi zaidi vilifunguliwa ndani ya Marekani. Waislamu wengi mno walidanganyika na kauli mbiu ya Umasoni, kisha wakaungana nayo. Lakini, walipotambua malengo yake sahihi, walinawa mikono yao na kuondokana nayo. Wengi wa walioachana na amri hiyo, walikataa kuweka wazi siri zake wakikhofia kuuawa. Utafiti mwingi uliofanywa na waandishi wa Magharibi na magazeti ya Kiyahudi pamoja na chunguzi za nyanja makhsusi, zilidhihirisha kwamba Wayahudi wamekuwa wakipanga kuuharibu ulimwengu kupitia “wito wa kutia shime ulio imara” ambao Waislamu ni lazima wauelewe. Kauli mbiu yao maarufu inasema: ‘Dini zinatusababisha kugawana wakati Umasoni inatupeleka kwenye umoja’. Imesimuliwa ndani ya Kitabu chaMasonic Encyclopedia kilichotolewa Phila mwaka 1906 M kwamba kila kituo cha Kimasoni kiwe na nembo ya kudhihirisha sinagogi la Kiyahudi, (na ukweli ni kwamba) kila mwalimu lazima awe mwakilishi wa mfalme wa Kiyahudi na kila mtu wa Umasoni amuajiri mfanyakazi wa Kiyahudi.

Ifuatayo ni nukuu kutoka gazeti la Masoniclililotolewa huko London mwaka 1935 M: ‘Shabaha yetu ni kuunganisha amri ambayo wanachama wake watatekeleza mahusiano ya kingono’. Hivyo, walianzisha maeneo (clubs) ambayo watu walitembea utupu na walifanya kila waliwezalo kuharibu thamani ya maadili.

Ili kutimiza malengo yao hapo juu, Wamasoni walianza kutumia majina tofauti kama vile Wana Wa Agano – Children Of Covenant, Kiwanis, Lioness, Yahweh Presence, Exchange, Rotary clubs na nyenginezo.

1) Wana Wa Agano. Kundi hili la Kimasoni lilianzishwa New York mwaka 1843 M; wanachama wake walikuwa ni Wayahudi tu. Baadaye, lilipanua matawi yake duniani kote. Foster Dallas akiwa kwenye mkutano ulioitishwa na kundi lake mnamo tarehe 03/05/1966 M alisema: ‘Ustaarabu wa Kimagharibi unatokana na Imani za Kiyahudi, nchi zote za Magharibi ni lazima zitetee ngome ngumu ya Ustaarabu wao: Israel’.

2) Kiwani. ‘Jitambue mwenyewe namna ya kuifanya sauti yako isikike’ Kundi hili lilipewa leseni ya kuanzishwa kwake mwaka 1915 M huko Detroit, USA.

3) Lioness. Kundi hili lilijitokeza Chicago, Chicago ambayo ndio ardhi mama ya vyama vyote vya Rotary. Kwa mujibu wa makala ya al-Ahram ya tarehe 02/12/1985 M. Mkuu (wa kike) wa kuiwekea dhamana na harakati za kijamii alifungua klabu ya mwanzo ya Lioness Nambari 19 huko Misri – Cairo, ni klabu ya kisasa kuliko zote. Saini na vyeti vilikabidhiwa katika maadhimisho ya (kuvipatia usajili) Vilabu 27. Majina ya makada wa chama hichi yalitajwa ndani ya makala hiyo.

4) Exchange. Ilianzishwa Detroit nchini USA mnamo tarehe 27/03/1916 M kutokana na nguvu za “Charles Berki” tajiri wa vito (vya dhahabu, almasi na kadhalika); aliitisha mkutano wake wa mwanzo mwaka 1917 M.

5) Yahweh Presence. Ni msingi wa Kiyahudi katika mavazi ya Kikristo. Yahweh ni agano binafsi la jina la Mungu (Agano la Kale); lililoanzishwa huko Penn. USA mwaka 1884 M, na baadaye, kuhamia New York mwaka 1909 M. Kundi hili linawatembelea watu majumbani mwao ili kuwahamasisha kuziimarisha kanuni zao zilizoegemezwa kwenye Taurati (na zilizoingizwa uongo kwa mikono yao). Kundi hili ni la hatari zaidi miongoni mwa Jumuiya za Kiyahudi, kwa vile linadanganya wanaharakati (wapo tayari hata kuua) wa Kikristo na kupandikiza ndani ya akili zao dhana za uongo za utume kama vile Ardhi IliyoahidiwaPromised Land.

Pia, ofisa wa Kimarekani alitoboa siri zao ndani ya kitabu chake ‘Dunia Ni Doli La Kiizraili’; kilichotafsiriwa kwa Kiarabu.

Hapa, ni vyema kutaja baadhi ya vitabu vilivyoandikwa kuhusu Umasoni. Dr. Muhammad Ali az-Zu’bi ameandika al-Masuuniya Fil ‘Aaraa (Umasoni Ndani ya Hewa Wazi) na Ahjar kwenye Riqat ash-Shataranj (Kitunda Katika Mchezo Wa Sataranji – Pawns On The Chess). Dr. Muhammad alikuwa ni mfano hai wa wasifu wa Kimasoni nchini Lebanon. Baadaye, alitubia na kurudi kwenye Uislamu. Hivyo, amri za Kimasoni ziliamuru auawe.

Zifuatazo ni Fatwa za Kishari’ah kuhusiana na Umasoni na wanachama wake zilizotolewa na Baraza la Fiqhi kwenye kikao chake cha kwanza kilichofanyika Makkah mnamo tarehe 10/08/1398 H. sawa na tarehe 15/07/1978 M.

Baada ya kusoma na kuchunguza yale yote yaliyoandikwa na kuchapishwa kuhusiana na amri hii, Baraza linatoa Fatwa kama ifuatavyo:

1) Umasoni ni amri ya siri, yenye kanuni na mafanikio ya siri; hakuna mtu anayetambua siri zake hata kwa wajumbe wake walio wengi, isipokuwa wale wenye vyeo vya juu. Mara nyingine wanafanya kazi ndani ya jamii.

2) Inajenga uhusiano wake miongoni mwa wajumbe wake duniani kote kwa njia za mahusiano ya kidugu ya uongo kwa lengo la kuyaweka mafanikio yake siri; inahusisha dini zote na imani zote.

3) Inavutia watu kujumuika nao kwenye jumuiya zake kwa kutosheleza matakwa yao binafsi, kwa vile kila Mmasoni ni lazima amtumikie ndugu yake duniani, yaani kumsaidia kutimiza ndoto zake zozote zinavyokuwa na kumsaidia kutatua matatizo yake na kumtimizia mafanikio yake na malengo yake; wanafanya kazi mmoja kwa mwengine kwenye mazuri na mabaya, haki na dhulma hata kama watajitahidi wawezavyo kujionesha kwamba wanafanya hayo kwa msaada mwema. Kwa maneno mengine, amri za Kimasoni zinafanya kazi kwa matakwa ya wajumbe wake ili kupata nafasi za mbele kwenye jamii na hilo ni miongoni mwa vivutio vyao. Wajumbe wake wanasaidia michango muhimu.

4) Kujiunga kwa amri hii kunaanzia kwa sherehe za kimila zinazoonesha matendo ya kutia khofu ili kumtisha mjumbe iwapo atakiuka mafundisho yake na amri zake na wakubwa wake.

5) Wajumbe wengine kutokana na umuhimu/ nafasi zao wanaruhusiwa kufuata mila za dini zao, lakini wanaamriwa kufanya baadhi ya maagizo kwa mujibu wa uwezo wao na wanatayarishwa kuwa ni mapagani (asiyesadiki mungu) pamoja na kushika nafasi za juu kwa mujibu wa huduma zinazotolewa kwa mafanikio na mipango ya hatari.

6) Umasoni una shabaha za kisiasa na kanuni yake ya msingi imo ndani ya vikundi visivyo rasmi na vyenye kutumia nguvu ya kung’oa uongozi duniani kote (coups d’etat).

7) Kimsingi, ni amri siri ya Kiyahudi na Kizayuni.

8) Ndani ya shabaha zake za siri, ni kupiga vita dini zote, haswa Uislamu.

9) Umasoni unachagua wajumbe wake kutoka watu walio hodari kiakili, matajiri, wanasayansi na kwenye kila nyanja ili kutawala kimabavu jamii zote kwa manufaa ya shabaha zake na wajumbe wake.

10) Inabadilisha majina na sifa tofauti, na inafanya kazi chini ya shughuli tofauti haswa pale penye aina yoyote ya upinzani kwa Umasoni ndani ya jamii. Baadhi ya majina yake ni: Rotary, Lioness, na amri za Lions...

Inakuja wazi kwamba Umasoni una uhusiano thabiti ambao unasaidia kutawala na kuongoza wengi walio madarakani ndani ya Palestina. Inatoa amri duniani kote na baadaye inachukua matunda kutokana na hali hiyo.

Kwa kuegemea ukweli ulioelezwa hapo nyuma kuhusu shabaha mbovu na za hatari zinazotumiwa na Umasoni, Baraza la Fiqhi linaamini kwamba amri kama hiyo ni yenye kuleta uharibifu, kwani inapigana vita dhidi ya Uislamu na Waislamu na kila mtu anayejiunga nayo ni kafiri.

Na Mafanikio Yapo Mikononi Mwa Allaah.
 
Mkuu Kudo ,
Nilikuwa nataka nifafanuliwe juu ya haya mambo yafuatayo yanayonichanganya:
1. Je, Masonry imeanza na Mfalme Suleimani baada ya kuanguka na kumwasi Mungu ?
2. Je, Free Mason na The Bavarian Order of the Illuminati ni kitu kimoja ?
3. Je, Adam Weishaupt (Jesuit Priest) aliakuwa ni Free Mason au Illuminati ?
4. Je, Free Masonry inahusiana chochote na zile dini za kale za Babeli, Misri na Kaanani ?
 
Malcom Lumumba
4: Freemasonry haina muingiliano na dini yeyote na haijawah kuwa hivyo,ila Freemasonry hukaribisha watu wa dini zote lakini kitabu kikuu ni Bible, huku lengo likiwa ni kuwaunganisha wanaume(awali)wote wa baba mmoja(hawataji mungu)

3:Kuhusu Adamu kuwa Mason inawezekana ama isiwezekane kwa sababu ,watu wengi hujiunga kwa maelezo ya mwanzo yanaoyoonesha ushirikiano wa watu wote ila unapokuwa katika kisomo cha degree utapata elimu iliotofauti na yenye usiri sana,hivyo basi sina jibu la moja kwa moja la kukuhakikishia kuhusu ushiriki wa huyo mtu kwa sababu ni rahisi kujua sheria ila si rahisi kujua uhusika wa mtu mmojammoja aliekatika kundi hilo.

2:Illuminant ni dini ya juzijuzi na ndio yenye lengo bovu la imani ya siri na hii imeanzishwa na watu wachache kutoka Germany ambao waliwahi kuwa Mason kisha wakajiengua na hii ni kwa sababu Germany haikuwa katika mzingo mkubwa wa namna ya kujiendesha kama ilivyo kwa marekani na UK hivyo basi Illuminati ni tofauti na masonry na vinamalengo tofauti na imani hii imekuwa ikipingwa vikali na mataifa makubwa mana ndio iliopelekea kufanya masonry ionekane ni yenye mlengo sawa na wao kwa sababu ya propaganda za kiiluminant zilizorudi kwa kasi miaka ya 60s...

1:imani hii imeanzishwa kipindi cha Herodus lakini haikuwa na nguvu sana hadi ilipokuja kuchukuliwa na rochailas aliekuwa mchoraji wa majengo katika tawala za wafalme na ndipo likaibuka hili jina Freemasonry kuwa kubwa hadi leo na kuja na mkakati endelevu wa kuwa na jina moja la dunia moja na mkakati huu upo katika mji wa Las Vegas ambao umejengwa katika pembe tatu

Hope nimekujibu vyema
 
Kwa iyo Freemasonry hawashirikiani na shetani au?
Illuminat nao je ?
 
Mkuu Kudo haya madini yenye mlengo wa kiarabu umeandika wewe au ni maoni ya wananzuoni mbalimbali.?
Kuna vitu vingi vya kujifunza.
Huyo ni herode agripa au agriba.
Wapo wanaiona Freemasonry kuanzia kwa kaini. Hawa wanaingiaje ?
Watakuwaje adui wa Catholic ikiwa huyo Mzee Adam alianzia vuguvugu huko Bavaria kwenye chuo cha haohao.
Watakuwaje adui wa uislam Wakati miongoni mwa vitabu vya kuheshimika katika madhabahu yao kwenye lodges zao IPO Quran,na vitabu vingine vya dini ( hii ni kwa mujibu wa waliotalii humo hasa huko US ).
Hawa wanaofahamika wakiwepo wa hapa Tanzania walioongozwa na late sir Chande wao wanajizungumziaje kulingana na maelezo haya.
Je kuna uhusiano wowote kati ya Knight temples, rose crussians, skull and bones, illuminati( the Bavarians). Rothschilds, na Jesuits ( kama conspiracy theories nyingi zinavyowahusisha) na Freemasonry?

Naomba kuwasilisha mchango wangu kwa njia ya maswali kunogesha mjadala .
 
Maoni haya ni Matokeo ya usomaji wa vitabu vingi kuhusu imani hii mitale na midimu, Malcom Lumumba

Niseme tu kwamba Adamu hakuwa Mason ila baada ya kuanzisha iman hii ya Illuminati ndio akajiunga na Mason ila kwa kuomba na hapo ndipo aliweka mkakati wake mezani

Naeleza hapa kwa uchache kumhusu yeye na Illuminati na kama sipo sahihi basi nikosoeni tuendelee nami nijifunze zaidi

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza nini maana ya mfumo mpya wa dunia ? (New world order). Kwa kutamka tu unaonekana ni mkakati wenye tija na una lengo la kutafuta ubinadamu wa kweli kati ya binadamu. Lakini kiuhalisia na hasa ukizingatia mkakati wake wa hawa watu wa ulaya kututawala ,basi mfumo huo unakuwa na kiasi kikubwa kabisa cha upinzani kwa mungu . Mfumo huu mpya unamtukuza zaidi Lucifer ambae ni Shetani Mkuu,

Katika kusoma vyanzo mbalimbali vya habari ninakuja na historia kamili ya vyanzo vya jamii hizi za siri lenye lengo la kusimamia mfumo huu mpya wa dunia.

Mwaka 1773 Meyer RorthChild aliwaalika marafiki zake kumi na wawili katika mjadala wa kutaka kutawala dunia kiuchumi. Hivyo mkakati huo ulilenga kuunganisha assets (Mali) za watu hawa kama mtaji wa kuunda mkondo wa kinyonyaji kwenye uchumi wa Dunia. Katika kikao hicho Meyer alitamka kwamba amempata mshirika madhubuti katika mpango huo.Alimtaja kama kijana jasiri,mwenye upeo na akili vilivyo ambae angeweza kuongoza umoja huo . Huyu hakuwa mwingine bali ni Adam Weishaupt (baadae ndie alienzisha jamii ya siri ya Illuminati)

Tarehe 1, mwezi wa tano mwaka 1776, Weishaupt Alianzisha jamii ya siri ya Order of illuminati .Weishaupt kitaaluma ni Mwanasheria aliebobea katika sheria za kanisa ‘Cannon Law’ na ni mhitimu katika Chuo cha Ingolstad kilichopo Bavaria ambayo ni sehemu ya Ujerumani. Jamii hii ya The Order of Illuminati ilikuwa na malengo yafuatayo :

ü Kuachana na mfumo uliozoeleka wa kiserikali
ü Kuachana na taratibu za kurithi
ü Kuachana na utaratibu wa Dini katika dunia
ü Kuunda serikali moja ya Dunia
ü Kupinga jinsi yeyote ya harakati katika dunia ( Abolition of Patriotism )

Mwaka 1782 Weishaupt aliamua kuunganisha nguvu na Freemasons na katika mkutano uliofanyika Wilhelmsbad ,mheshimiwa mmoja aliekuwa anaitwa Comte de Virieu alitoka kwenye mkutano huo akiwa anatetemeka na hofu kubwa . Alipoulizwa madhumuni na siri zilizozungumzwa alisema kama ifuatavyo ‘Siwezi kudhizihiri siri hizo mbele yenu lakini kubwa nalotaka kuwaambia ni kuwa mambo haya ni makubwa na dhahiri kuliko mnavyodhania’ Hivyo inaonekana katika kikao hicho mambo mengi yalijadiliwa jinsi ya kunyonga uchumi wa dunia hii na kuuweka mfukoni mwao. Tayari maneno na lengo lao likawa ni kwamba ‘Tuhakikishe tunaushikilia uchumi wote wa dunia na pindi tukifanikiwa hilo hatutajali kamwe nani anatengeneza Sheria’ Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba watakuwa na uwezo wa kumnunua yeyote yule ataekuwa anakinzana na malengo yao katika dunia yetu .Mpigapicha wa Comte anasema kwamba Comte aliweza kuongelea Freemason kwa shaka kubwa sana.

Kabla sijaendelea na mtirirko huo wa Historia ya New World Order naomba niende ndani kidogo ili tuweze kumfahamu huyu Weishaupt na ana ushawishi gani katika jamii hizi za siri .

Alizaliwa February 6, 1748 na ni motto kutoka kwenye familia ya kiyahudi na baba yake alikufa mwaka 1753. Kijana huyu aliingia katika mfumo wa Kikatoliki akiongozwa na Baron Johann Adam Lckstatt ambae alimuingiza katika jamii ya Wajesuits.Mwaka 1742 Lckstatt alipelekwa na Jesuits akasimamie chuo chao na majukumu ya msingi aliopewa ilikuwa ni kuweka mifumo muhimu katika uendeshaji wachuo hicho .Alistaafu mwaka 1765 lakini hata baada ya kustaafu bado Lckstatt aliendelea kuwa na ushawishi mkubwa kwenye sera na mwelekeo wa Chuo hicho .Weishaupt kwa upande wake aliendelea na kitaaluma na baadae akawa Padri wa Shirika la Jesuits .Akapata kuingia kwenye library ya Lckstatt na huko akasoma vitabu mbalimbali . Mbali na maktaba hii ya Lckstatt Weishaupt akapata pia kusoma na hasa akashawishika sana na kazi za French Philosophers na hii ikampelekea kusoma Sheria,siasa ,uchumi na historia.Moja ya mwanafalsafa aliyemvutia ni Voltire (1694-1778) na ni huyu Voltire ambae alikuwa anapinga kanisa na aliwai kuandika barua kwa King Fredrick 11 ( Great Mason ) na katika moja ya maandishi yake ambayo yanapinga na/au kupanga kudhoofisha kanisa ni kama alivyoandika ‘Lastly, when the whole body of the Church should be sufficiently weakened and infidelity strong enough, the final blow (is) to be dealt by the sword of open, relentless persecution. A reign of terror (is) to be spread over the whole earth, and...continue while a Christian should be found obstinate enough to adhere to Christianity.’ Inaaminika na/au kuhakikishwa kwamba maandiko haya ndiyo yaliyomplelekea Weishaupt kuwa na azma ya kuliharibu kanisa .Akaenda kusoma Ufaransa na kukutana na Robisphere ( baadae robisphrere ndie alieongoza French Revolution ),akajenga urafiki na watu wa nafasi za juu katika’ French Royal Court ‘ na katika muingiliano huu ndipo inaaminika kwamba Weishaupt alikuwa anaingizwa taratibu kwenye ushetani .

Akafanya yafuatayo katika muingiliano huu wa kishetani

ü Alisoma maandiko mbalimbali ya kupinga kristo yajulikanayo kama Maniech ambayo yanahusika sanasana kama kutabiri nyota na mazingaumbwe.
ü Akatambulishwa kwa Mganga mashuhuri wa kipindi hicho huko Misri ambae alijulikana kama Colmer . Akasoma kazi za Essenes na akapata nakala za ‘Kalaba’ ambao ni ufunguo muhimu wa jinsi ya kuwatumia majini katika kufanya mazingaumbwe .
ü Alisoma pia maandiko mbalimbali ya Ki–freemason na akapanga kuanzisha jamii inayofanana na hiyo .
ü Akatambulishwa kwa RothChilds ( Ambao wanadhaniwa pia kwamba ni waabudu mashetani ) , wakamwamuru aachane na kanisa katoliki na kuungana na jamii za siri nyingine katika kutekeleza mkakati wa ‘ The New World Order’
Kwa historia hii kwa sasa tunapata mwanya wa kumjua Weishaupt ni nani na anasimamia nini . Ametumia muda wake mwingi kupata mafunzo ya kishetani .

Mimi naishi katika familia ya imani mbili tofauti mama mwislam na baba mkristu
Ahsanten
zitto junior ,hearly
 
Kudo
asante kwa maelezo mkuu.
ngoja niendelee kujifunza kwa michango ya wadau.
Ila nilitaka kuongezea kidogo kwenye majibu yako kwa mkuu Malcom.
Bibilia sio kitabu kukuu cha freemasons bali Vitabu Vyote vya imani ni sehemu ya furniture ya masonic Lodges.
na sidhani kama hii ni siri, maana wapo watu waliotembelea humo kama sehemu ya utalii wakavikuta. Maana unaweza kuwa freemason na ukaendelea kuwa na imani yoyote unayotaka.

Unaweza kuongeza mchango wako pia kwenye hilo na baadhi ya maswali pale juu naona kama hujazungumzia.
Asante kwa Michango mizuri lakni mkuu.
religionmason44.jpg
 
Ninachojua ni kuwa hata kama unatumia vitu vingapi lazima kuwe na kimoja chenye umuhimu vipo vitabu vingi humo ila bado Bible ina husika pakubwa japo wahusika ni dini tofauti

Hili jibu hapa chini nimekopi kwenye site yao

If I become a Free Mason, will I be expected to change my religion?

No. The foundation of Freemasonry is the brotherhood of man under the Fatherhood of God. Only those who are truly religious can fully understand the meaning of "universal brotherhood".

Except in a very few jurisdictions around the world, only those who believe in a Supreme Being can be members of the Masonic Fraternity. There are no specific religions mentioned in Masonic ceremonies nor in Masonic prayers.

Freemasonry is not a church, a tabernacle, a mosque nor a synagogue, nor is it a substitute for any of them or for any religious observance.

Freemasonry is non-sectarian, which means it is not affiliated with nor restricted to any particular religious denomination. The form of a man's belief is his own business. In fact, many active Masons are active religious laymen.

In the United States, most lodges use the Holy Bible, however, if you are of another religion, you may request that your sacred holy book (Torah, Veda, Koran, etc.) be placed beside the Bible during lodge meetings. Some lodges have several sacred books to accommodate the different religions of its members.

Lodges whose members are wholly of a specific religion may choose to use their sacred books only.
 
Nawatafutaga hawa jamaa naishia kupigwa hela zangu tuu
 
Pole ndugu hao huwa hawatafutwi

mkuu hivyo vitabu vyao mtu unaweza kuvisoma na ukapractise yaliyo kuposses hizo powers n.k au ni hasa extra kinahitajika, na hivyo vitabu hasa yaliyomo ndani yake ni yapi? ahsante!
 
Umasoni ni chama cha siri kabisa cha Kiyahudi, kimeanzishwa huko enzi za Kiroma sehemu za Aurshalim (Jerusalem) wakati wa ufalme wa Herodus Aghriba baina ya mwaka 37-44 M, aliyekuwa mjukuu wa Herodus Mkuu, muuaji wa watoto wa Bethlehem kwa khofu ya kutokea Yesu, ambaye kwa mujibu wa imani zake, aliazimia kuondosha haraka iwezekanavyo utawala wote wa Herodus.

Umasoni ulitambulika kwa utata wake na mtindo wake ulio na amri madhubuti. Malengo yake ni kuhakikisha mamlaka yanabaki kwa Mayahudi duniani kote. Unahubiri upagani, utenganifu wa jamii na upotofu. Jumuiya hii inachagua wajumbe wake miongoni mwa watu maarufu kwenye nyanja ambazo zina nafasi kisiasa, kiuchumi au kijamii. Kitabu cha Simplified Encyclopedia kimeandika na kuchapisha kutoka WAMY (Baraza La Vijana Waislamu Duniani - World Assembly of Muslim Youth– Saudi Arabia) kinafafanua kwamba muasisi wa jumuiya hii ni Herdous Aghriba (44 M) mfalme wa Kiroma kwa msaada wa wasaidizi wa Kiyahudi.

Hivyo, mwanzo wake ulitokana na ujanja, hila na mageuzi. Inachagua zana za utambulisho, majina na alama ili kueneza khofu na kuwafanya watu kuamini katika habari zisizo sahihi. Rabai Laquiz amesema: “Umasoni ni ya Kiyahudi kwa mujibu wa historia yake, uongozi wake, mafundisho yake, zana zake za siri na kazi zake za ubunifu wa hali ya juu... Ni ya Kiyahudi kuanzia utosini hadi miguuni. Ilikuwa ikiitwa: ‘Uwezo wa siri wenye lengo la kuwaadhibu Wakristo, kuwauwa viongozi, kuwakata vichwa, kuwapiga pande na kuizuia dini yao kuenea.’ Sasa, imechukua jina hili (Umasoni – Freemasonry) kwa kipindi cha karne kadhaa”.

Neno “mason” lina maana ya yule mwenye kujenga nyumba. Hivyo “Free masons” lina maana ya Wamasoni walio huru. Hii ndio ilikuwa haswa alama yao wakati walipokuwa wakifanya kazi zao (za kujenga nyumba). Lakini sasa jina hilo lipo mbali na tafsiri hii. Enzi hizo ndio zilikuwa mwanzo wa umoja huu. Lakini vitu vilianzia tokea 177 M pale Adam Webshawit, Mkristo aliyeingia kwenye upagani, alipovutiwa na umoja huu ambao alidhani utamsaidia kuimiliki dunia yote.

Mara ya mwisho kutimu kazi hii ilikuwa ni mwaka 1776 M, na bodi ya mwanzo kuanzishwa ndani ya kipindi hicho (Bodi ya Torani) ilipewa jina baada ya huyo Shetani wao waliokuwa wakimwabudia. Ukweli ni kwamba, Webshawit alikuwa ni mtu wa mwanzo aliyeanzisha mipango ile ile ya Umasoni.

Azma ya mwanzo ya Umasoni ni kuupiga vita “Ukristo”. Baadaye, azma zao ziliendelea kupiga vita dini zote, kuirudisha tena Israel na kuitoa Palestine.

Malengo muhimu na imani zao kuu za wajumbe wa jumuiya hii ni:

1. Wanaitakidi kwamba imani kwa Allaah, Mitume na Vitabu kama ni upuuzi na hawaamini chochote katika ghayb.

2. Wanashiriki kwa hali zote kubadili serikali ili kuweka serikali ambayo inawakubali wao pamoja na mawazo yao.

3. Wanahubiri ukombozi wa ngono na kumuona mwanamke kama ni aina fulani ya umiliki.

4. Wanafanya bidii kuchana chana mataifa – isipokuwa taifa la Kiyahudi na kuanzisha migongano ya kudumu baina yao.

5. Wanauza na kutoa silaha kwa pande zote mbili ili kushinikiza mapigano.

6. Wanafanya kila jitihada ya kuendeleza ukabila na uadui.

7. Inaua na kuharibu kanuni za maadili kwa kutumia hongo kupitia ngono na pesa ili kuwavutia wenye kutoa maamuzi.

8. Wanafanya uchunguzi wa kudumu (na kuzifanyia kazi) ili kuwazuia Waislamu na kuwapunguza kupitia aina zote (birth control) na kongamano zinazoshajiisha mambo hayo kama vile: “Kongomano La Wazawa”.

Mwaka 1717 M, Umasoni ulijitokeza kwa jina jengine jipya: Jamii ya Kimasoni (Freemasonic Society) au Wamasoni (Freemasons), wakitekeleza malengo yake ya kupiga vita dini zote. Pia walichukua nembo mpya: Pembe tatu baadaye ikagaiwa (pande mbili), baadaye walianzisha kituo chao cha mwanzo cha Kimasoni nchini Uingereza, wakiwa na kauli mbiu mpya: uhuru, udugu na usawa. Baada ya hapo, walitoa maamuzi ya kuweka (wazi) maazimio yao ya kweli kama ifuatavyo:

1) Kuuendeleza Uyahudi.

2) Kupiga vita dini zote, haswa Ukatoliki.

3) Kueneza ukafiri na ukombozi.

Baadaye, vituo vipya na vingi zaidi vilifunguliwa ndani ya Marekani. Waislamu wengi mno walidanganyika na kauli mbiu ya Umasoni, kisha wakaungana nayo. Lakini, walipotambua malengo yake sahihi, walinawa mikono yao na kuondokana nayo. Wengi wa walioachana na amri hiyo, walikataa kuweka wazi siri zake wakikhofia kuuawa. Utafiti mwingi uliofanywa na waandishi wa Magharibi na magazeti ya Kiyahudi pamoja na chunguzi za nyanja makhsusi, zilidhihirisha kwamba Wayahudi wamekuwa wakipanga kuuharibu ulimwengu kupitia “wito wa kutia shime ulio imara” ambao Waislamu ni lazima wauelewe. Kauli mbiu yao maarufu inasema: ‘Dini zinatusababisha kugawana wakati Umasoni inatupeleka kwenye umoja’. Imesimuliwa ndani ya Kitabu chaMasonic Encyclopedia kilichotolewa Phila mwaka 1906 M kwamba kila kituo cha Kimasoni kiwe na nembo ya kudhihirisha sinagogi la Kiyahudi, (na ukweli ni kwamba) kila mwalimu lazima awe mwakilishi wa mfalme wa Kiyahudi na kila mtu wa Umasoni amuajiri mfanyakazi wa Kiyahudi.

Ifuatayo ni nukuu kutoka gazeti la Masoniclililotolewa huko London mwaka 1935 M: ‘Shabaha yetu ni kuunganisha amri ambayo wanachama wake watatekeleza mahusiano ya kingono’. Hivyo, walianzisha maeneo (clubs) ambayo watu walitembea utupu na walifanya kila waliwezalo kuharibu thamani ya maadili.

Ili kutimiza malengo yao hapo juu, Wamasoni walianza kutumia majina tofauti kama vile Wana Wa Agano – Children Of Covenant, Kiwanis, Lioness, Yahweh Presence, Exchange, Rotary clubs na nyenginezo.

1) Wana Wa Agano. Kundi hili la Kimasoni lilianzishwa New York mwaka 1843 M; wanachama wake walikuwa ni Wayahudi tu. Baadaye, lilipanua matawi yake duniani kote. Foster Dallas akiwa kwenye mkutano ulioitishwa na kundi lake mnamo tarehe 03/05/1966 M alisema: ‘Ustaarabu wa Kimagharibi unatokana na Imani za Kiyahudi, nchi zote za Magharibi ni lazima zitetee ngome ngumu ya Ustaarabu wao: Israel’.

2) Kiwani. ‘Jitambue mwenyewe namna ya kuifanya sauti yako isikike’ Kundi hili lilipewa leseni ya kuanzishwa kwake mwaka 1915 M huko Detroit, USA.

3) Lioness. Kundi hili lilijitokeza Chicago, Chicago ambayo ndio ardhi mama ya vyama vyote vya Rotary. Kwa mujibu wa makala ya al-Ahram ya tarehe 02/12/1985 M. Mkuu (wa kike) wa kuiwekea dhamana na harakati za kijamii alifungua klabu ya mwanzo ya Lioness Nambari 19 huko Misri – Cairo, ni klabu ya kisasa kuliko zote. Saini na vyeti vilikabidhiwa katika maadhimisho ya (kuvipatia usajili) Vilabu 27. Majina ya makada wa chama hichi yalitajwa ndani ya makala hiyo.

4) Exchange. Ilianzishwa Detroit nchini USA mnamo tarehe 27/03/1916 M kutokana na nguvu za “Charles Berki” tajiri wa vito (vya dhahabu, almasi na kadhalika); aliitisha mkutano wake wa mwanzo mwaka 1917 M.

5) Yahweh Presence. Ni msingi wa Kiyahudi katika mavazi ya Kikristo. Yahweh ni agano binafsi la jina la Mungu (Agano la Kale); lililoanzishwa huko Penn. USA mwaka 1884 M, na baadaye, kuhamia New York mwaka 1909 M. Kundi hili linawatembelea watu majumbani mwao ili kuwahamasisha kuziimarisha kanuni zao zilizoegemezwa kwenye Taurati (na zilizoingizwa uongo kwa mikono yao). Kundi hili ni la hatari zaidi miongoni mwa Jumuiya za Kiyahudi, kwa vile linadanganya wanaharakati (wapo tayari hata kuua) wa Kikristo na kupandikiza ndani ya akili zao dhana za uongo za utume kama vile Ardhi IliyoahidiwaPromised Land.

Pia, ofisa wa Kimarekani alitoboa siri zao ndani ya kitabu chake ‘Dunia Ni Doli La Kiizraili’; kilichotafsiriwa kwa Kiarabu.

Hapa, ni vyema kutaja baadhi ya vitabu vilivyoandikwa kuhusu Umasoni. Dr. Muhammad Ali az-Zu’bi ameandika al-Masuuniya Fil ‘Aaraa (Umasoni Ndani ya Hewa Wazi) na Ahjar kwenye Riqat ash-Shataranj (Kitunda Katika Mchezo Wa Sataranji – Pawns On The Chess). Dr. Muhammad alikuwa ni mfano hai wa wasifu wa Kimasoni nchini Lebanon. Baadaye, alitubia na kurudi kwenye Uislamu. Hivyo, amri za Kimasoni ziliamuru auawe.

Zifuatazo ni Fatwa za Kishari’ah kuhusiana na Umasoni na wanachama wake zilizotolewa na Baraza la Fiqhi kwenye kikao chake cha kwanza kilichofanyika Makkah mnamo tarehe 10/08/1398 H. sawa na tarehe 15/07/1978 M.

Baada ya kusoma na kuchunguza yale yote yaliyoandikwa na kuchapishwa kuhusiana na amri hii, Baraza linatoa Fatwa kama ifuatavyo:

1) Umasoni ni amri ya siri, yenye kanuni na mafanikio ya siri; hakuna mtu anayetambua siri zake hata kwa wajumbe wake walio wengi, isipokuwa wale wenye vyeo vya juu. Mara nyingine wanafanya kazi ndani ya jamii.

2) Inajenga uhusiano wake miongoni mwa wajumbe wake duniani kote kwa njia za mahusiano ya kidugu ya uongo kwa lengo la kuyaweka mafanikio yake siri; inahusisha dini zote na imani zote.

3) Inavutia watu kujumuika nao kwenye jumuiya zake kwa kutosheleza matakwa yao binafsi, kwa vile kila Mmasoni ni lazima amtumikie ndugu yake duniani, yaani kumsaidia kutimiza ndoto zake zozote zinavyokuwa na kumsaidia kutatua matatizo yake na kumtimizia mafanikio yake na malengo yake; wanafanya kazi mmoja kwa mwengine kwenye mazuri na mabaya, haki na dhulma hata kama watajitahidi wawezavyo kujionesha kwamba wanafanya hayo kwa msaada mwema. Kwa maneno mengine, amri za Kimasoni zinafanya kazi kwa matakwa ya wajumbe wake ili kupata nafasi za mbele kwenye jamii na hilo ni miongoni mwa vivutio vyao. Wajumbe wake wanasaidia michango muhimu.

4) Kujiunga kwa amri hii kunaanzia kwa sherehe za kimila zinazoonesha matendo ya kutia khofu ili kumtisha mjumbe iwapo atakiuka mafundisho yake na amri zake na wakubwa wake.

5) Wajumbe wengine kutokana na umuhimu/ nafasi zao wanaruhusiwa kufuata mila za dini zao, lakini wanaamriwa kufanya baadhi ya maagizo kwa mujibu wa uwezo wao na wanatayarishwa kuwa ni mapagani (asiyesadiki mungu) pamoja na kushika nafasi za juu kwa mujibu wa huduma zinazotolewa kwa mafanikio na mipango ya hatari.

6) Umasoni una shabaha za kisiasa na kanuni yake ya msingi imo ndani ya vikundi visivyo rasmi na vyenye kutumia nguvu ya kung’oa uongozi duniani kote (coups d’etat).

7) Kimsingi, ni amri siri ya Kiyahudi na Kizayuni.

8) Ndani ya shabaha zake za siri, ni kupiga vita dini zote, haswa Uislamu.

9) Umasoni unachagua wajumbe wake kutoka watu walio hodari kiakili, matajiri, wanasayansi na kwenye kila nyanja ili kutawala kimabavu jamii zote kwa manufaa ya shabaha zake na wajumbe wake.

10) Inabadilisha majina na sifa tofauti, na inafanya kazi chini ya shughuli tofauti haswa pale penye aina yoyote ya upinzani kwa Umasoni ndani ya jamii. Baadhi ya majina yake ni: Rotary, Lioness, na amri za Lions...

Inakuja wazi kwamba Umasoni una uhusiano thabiti ambao unasaidia kutawala na kuongoza wengi walio madarakani ndani ya Palestina. Inatoa amri duniani kote na baadaye inachukua matunda kutokana na hali hiyo.

Kwa kuegemea ukweli ulioelezwa hapo nyuma kuhusu shabaha mbovu na za hatari zinazotumiwa na Umasoni, Baraza la Fiqhi linaamini kwamba amri kama hiyo ni yenye kuleta uharibifu, kwani inapigana vita dhidi ya Uislamu na Waislamu na kila mtu anayejiunga nayo ni kafiri.

Na Mafanikio Yapo Mikononi Mwa Allaah.
Umeandika Kila kitu vyema isipokuwa
Na Mafanikio Yapo Mikononi Mwa Allaah
 
Asante kwa uzi, Hayo ni mambo magumu sana
 
Back
Top Bottom