Freemasonry na Freemasons katika mlengo wa ulipaji kisasi kwa Mungu

Freemasonry na Freemasons katika mlengo wa ulipaji kisasi kwa Mungu

Bro Kudo

upo sawa sana

ila napenda kutoa wazo Dogo tu


Kukutana Quraan ndani ya majumba ya wamason,Haina maana wao wanaikubali hii Quraan,
ni kama alivyosema Bro Kudo,kwamba katika moja ya mbinu zao,ni kukusanya wana Dini zote,na kuwa na kauli mbiu ya umoja wa kweli,huku wakiwa na agenda ya siri nyuma ya pazia



Uislam,upo mbali sana na haya mambo
Uislam,unapiga vita Ushirikina na aina zake
Uislam,unapiga vita sana umwagaji wa damu wa kiholela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom