Freemasons na harakati za kidini duniani

Freemasons na harakati za kidini duniani

Mkuu umetunga hadithi nzuri sana
Hakuna utunzi hapo, JE wewe unao ukweli utupatie??

Kuna mengi sana juu ya hawa watu, nikipata muda nitakupa darasa japo KWA uchache labda unaweza ukapata ka mwanga Fulani.
 
Mtoa mada wengi watakupinga lakini ndio ukweli huo. Asante sana mkuu ubalikiwe.
 
Back
Top Bottom